Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,218
- 41,788
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ya kweli hayo?Nyie ni wazuri nakubalii
Au ndio kutufurahisha tuendelee kupost?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ya kweli hayo?Nyie ni wazuri nakubalii
Hahahahahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nyau, huwezi jua ulinzi wako ni invicible
utashangaa tu kala makonzi kwa sababu yako
Mtag Kama unamjua Jina
Nilipokuwa sijakuona watu walikuwa wananiringishia humu so na wao waipate fresh hahahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Muone kwanza
Kwa hiyo umeamua kunisema mimi .
Ukuje kulee
SHeheheee.. embu nitajie herufi ya kwanza ya jina langu.
Na kesho naruhusiwa kushiriki?
Ai trasti zem noti yuuhahahaha
Si yuu sii evrebade izi kusifiaring yuu
Kule si Friday sasa..
labda nikuhamishe tukaishi kenya hukoHahahahahaha
Itabidi niwe najiamini sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lile guu acha kabisa
Mshape matata.Hapana mumie, nili imagine tu huo m-shape wako.!!
Hapa mshana itabidi awe anatusaidia
Nani huyo alokuwa anakuringishia etiNilipokuwa sijakuona watu walikuwa wananiringishia humu so na wao waipate fresh hahahaha
Mjini kutesa kwa zamu hahahah
Kule si Friday sasa..
Ukishindanisha miguu atashinda sasa mimi sitaki ashinde.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lile guu acha kabisa