Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,401
- 88,857
Dooooh.. na wewe nimekufananisha na M halafu. Njoo pm ebu
Hamna ruhusa.La guu nitashiriki usinisahau
Hivi kwa yule rafiki yako unaekujaga maeneo ya kwetu ni tembon au kwa msuguli?
Ukishindanisha miguu atashinda sasa mimi sitaki ashinde.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya acheni porojo wekeni picha
Sakayo nidai mwekunduHahahahahaha
Sori mai dia
View attachment 1221816@Kapeace nafikiri tumemalizana....
Tukutane kwenye challenge ya macho
Saaafiiii..Hallelujah... nishatafuta picha ya kupata wekundu tayari. Tangazo likirudi tu natupia
Sio kwa mipaja ile, nitakuwa wa mwisho kuamini kama hayajasuport mzigo huko nyuma.Haha
Naanzaje kucheka na viskonsi viwili vyangu huku nyuma??
Mbezi mwisho karibu na St Joseph. Hata sijui kunaitwa Mbezi gani
Hallelujah... nishatafuta picha ya kupata wekundu tayari. Tangazo likirudi tu natupia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaah mbezi luis
Hiyo tuu.
[emoji28]
Utaishi huko ndani kwa sheria mpaka uchanganyikiwe.[emoji28]Hahahahahaha muache bwana wangu
Hahahahahaha
Sori mai dia
View attachment 1221816@Kapeace nafikiri tumemalizana....
Tukutane kwenye challenge ya macho