Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Aiseee[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Nimeruhusiwa tangu dunia inaumbwa ya kwamba katika uongo mzuri ni kumsifia mwanamke hata kama sifa hiyo hana ila iwe inakaribiana na aliyonayo.
Watoto wakike mnapenda kusifiwa nyinyi,yaani uzuri uzuri ndio sifa zenu.