mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,401
- 23,191
Tulia wewe hebu njoo nikupe raha duniani we mtoto mzuri[emoji1787][emoji1787] Kuteseka nateseka mimi shida unapata wewe ebu uko
Tulia wewe hebu njoo nikupe raha duniani we mtoto mzuri[emoji1787][emoji1787] Kuteseka nateseka mimi shida unapata wewe ebu uko
SitakiiiiTulia wewe hebu njoo nikupe raha duniani we mtoto mzuri
Siwezi aisee nitahakikisha mda wote unatabasamSitakiiii
We mpare kwako nitateseka na ubahili wako
Leo umeshiba sana pilau kwa chai?🙂Maana kwa ajili yangu Mtoto amezaliwa[emoji7][emoji177]View attachment 1658924
Miaka kadhaa ajali ilikwapua nyama zote na mishipa ya mguu..
MUNGU ni mwaminifu sana....mguu unarudi.
Wewe huyu ninayekujuaSiwezi aisee nitahakikisha mda wote unatabasam
Hatimaye grace kakuachiaLeo umeshiba sana pilau kwa chai?[emoji846]
Rangi ya mtume. Upaja sasa [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lol
[emoji7][emoji7][emoji7]Maana kwa ajili yangu Mtoto amezaliwa[emoji7][emoji177]View attachment 1658924
Miaka kadhaa ajali ilikwapua nyama zote na mishipa ya mguu..
MUNGU ni mwaminifu sana....mguu unarudi.
[emoji6][emoji6]Rangi ya mtume. Upaja sasa [emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Habu fanya akuelewe we mtoto wa kike ujue loh!!usiniangusheJmn me kaka ako ata simuelewi kbsaaa [emoji18]
[emoji23][emoji23][emoji23]Huu sasa Upambe Shem lake.. Merry Christmas.
We nae unapotea potea sana na wewe bhana.....
😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah lol
Hapa nilipo nipo hoi,hata kitandani leo sijaweza kutoka!😂😂😂Nimeshikishwa adabu yaani!😔Hatimaye grace kakuachia
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji6][emoji6]