Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Chakorii mwambie kaka ako namzimikia kimomaaa aseme kama hajanielewa nifocus na binamu yangu@Iceberg9 [emoji18]
Screenshot_20201226-111244.jpg
 
Chakorii mwambie kaka ako namzimikia kimomaaa aseme kama hajanielewa nifocus na binamu yangu@Iceberg9 [emoji18]View attachment 1659381
Una ujasiri dyadya...😅😅safi!

Sasa na wewe unakosea kumtamkia hapa public...kama kuna viunga vya jirani huoni unaharibu sasa🤫🤫

Zama piemu huko acha mambo ya ajabu
 
Una ujasiri dyadya...[emoji28][emoji28]safi!

Sasa na wewe unakosea kumtamkia hapa public...kama kuna viunga vya jirani huoni unaharibu sasa[emoji2958][emoji2958]

Zama piemu huko acha mambo ya ajabu
Mwambie naelekea kukata tamaa na siku nikikata tamaa ndo naondoka na jf kbsaaa sita rudi[emoji2]


Kwan kumpenda mtu vibaya [emoji29]
 
Mwambie naelekea kukata tamaa na siku nikikata tamaa ndo naondoka na jf kbsaaa sita rudi[emoji2]


Kwan kumpenda mtu vibaya [emoji29]
Hivi kumbe uko siriazi mama..loh haki nilikuwa sijui...

So sadi pole...🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️

😅😅huoni ukiondoka utakuwa umempunguzia injili 🤪🤪komaa dada
Si unajua ukisusa wenzio wala eee😁ehee

Kumpenda mtu si vibaya ila na yeye kukupenda hapo ndo kipengele si unajua eee😁😁eheee
 
Back
Top Bottom