Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,740
- 182,811
Hahahaaa!! Vitu vinasafisha macho
Hahahaaa!! Vitu vinasafisha macho
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Ooooh!!!! Nimekumbuka aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shukrani sana.. Watu wamefukua makaburi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah, shem naomba unisamehe niseme neno. "Hapo usimame, utangulie niwe nyuma yako ili niwe nakulinda", teeeeh sidhani kama nitafika bila kujikwaa.[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo mpango mzima...Anipe hela kwanza.
Nilishasahau hata.. kitambo sana..Waache tuu wafukue, Vizuri vinatafutwa bhanaa [emoji28][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe uliona wapi Shemeji anataka kutembea nyuma ya Shemeji yake? Halafu Mdogo wangu Espy ana taarifa na ulichoandika hapa kweli Shem?[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Okay, Kama kuna nyingine kama bonus itakua safi sana
Hahahaha, ahsante ,nakuja Niko njianiUnajua nini kipenzi changu!!nilipika lakni sikula mpka urudi online nikukaribishe ndipo tule
Baba karibu chakula [emoji4][emoji4]
Nisaidie basi kumwambia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndiyo mpango mzima...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mume tu ninae[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe uliona wapi Shemeji anataka kutembea nyuma ya Shemeji yake? Halafu Mdogo wangu Espy ana taarifa na ulichoandika hapa kweli Shem?[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha bwana!!Dah, shem naomba unisamehe niseme neno. "Hapo usimame, utangulie niwe nyuma yako ili niwe nakulinda", teeeeh sidhani kama nitafika bila kujikwaa.[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Kutaniana na shem wangu sio kosa bwana!Hapa mume tu ninae[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Wallah huu mwaka wangu, naenda ukweni dea, ila tunasafiri na private car, plz maombi yako muhimu mnooh.Wacha bhana..ndo unaenda ukweni!!
Naomba upande BM bus lile lizuri uje unipe mrejesho
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji493][emoji493]View attachment 1657492
Sina usingizi hata, tangulia nakuja.Eti eeh!!
Njoo tulale bwana.
Hapana aiseee... nadhani juu huko zipo..Okay, Kama kuna nyingine kama bonus itakua safi sana
[emoji39][emoji39][emoji39] dea lolCooked by me..View attachment 1657668
Chukua tu boda kupenzi changu chakula kina poa.Hahahaha, ahsante ,nakuja Niko njiani
Acha kelele ushafika kwanza Au tuendelee na maombiWallah huu mwaka wangu, naenda ukweni dea, ila tunasafiri na private car, plz maombi yako muhimu mnooh.