Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule naye inawezekana kashapata info za huyu tunayemuongelea akajihisi pengine na zake zitakuwa zimemfikia maana siyo bure
Sasa bora angeniuliza tu kama wewe
Kuninunia mimi sijui kosa,akwende zake[emoji1787][emoji1787]na mwaka unaisha hivyo,na siombi msamaha ng'oo kwa kununiwa bila kujua kosa.
Akipita ataona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…