Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 22, 2020 #82,181 cocastic said: Ndan ya ndinga. Click to expand... Magari ya watu
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Dec 22, 2020 #82,182 Makiseo said: Kuna wakati alikuwa anakuquote sana.. Ina maana yote ile ilikuwa ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Si ndiyo alikuwa ananichimba na kunichekea kinafiki
Makiseo said: Kuna wakati alikuwa anakuquote sana.. Ina maana yote ile ilikuwa ni nini? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Si ndiyo alikuwa ananichimba na kunichekea kinafiki
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 22, 2020 #82,183 yna2 said: Na natamani ingekuwa Leo maana niliamka kisharishari... Click to expand... Lakini naona tu kwa leo hakuna aliyekuwa tayari kumtaja wala kumuanika
yna2 said: Na natamani ingekuwa Leo maana niliamka kisharishari... Click to expand... Lakini naona tu kwa leo hakuna aliyekuwa tayari kumtaja wala kumuanika
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Dec 22, 2020 #82,184 yna2 said: Si ndiyo alikuwa ananichimba na kunichekea kinafiki Click to expand... Duh!!!Inasikitisha...Pole Dear. Sent using Jamii Forums mobile app
yna2 said: Si ndiyo alikuwa ananichimba na kunichekea kinafiki Click to expand... Duh!!!Inasikitisha...Pole Dear. Sent using Jamii Forums mobile app
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Dec 22, 2020 #82,185 Karma said: Lakini naona tu kwa leo hakuna aliyekuwa tayari kumtaja wala kumuanika Click to expand... Tumeamua kumstiri mwanamke mwenzetu..
Karma said: Lakini naona tu kwa leo hakuna aliyekuwa tayari kumtaja wala kumuanika Click to expand... Tumeamua kumstiri mwanamke mwenzetu..
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Dec 22, 2020 #82,186 Makiseo said: Duh!!!Inasikitisha...Pole Dear. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ahsante dear.
Makiseo said: Duh!!!Inasikitisha...Pole Dear. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ahsante dear.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 22, 2020 #82,187 Chakorii said: Kama utamlipua mlipulie sehemu nyingine..kwenye huu uzi usifanyie malipuzi ukafungwa buree...bado tunauhitaji Click to expand...
Chakorii said: Kama utamlipua mlipulie sehemu nyingine..kwenye huu uzi usifanyie malipuzi ukafungwa buree...bado tunauhitaji Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 22, 2020 #82,188 Shunie said: Karma ebu njo pm Click to expand... Karma atakuambia au atamwambia pacha wako.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 22, 2020 #82,189 Shunie said: Kula wewe acha ujinga Click to expand...
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Dec 22, 2020 #82,190 Heaven Sent umeweka picha au bado uko kikaoni?
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 22, 2020 #82,191 cocastic said: Dea plz naomb mnambie, sina aman hapa wallah. Click to expand... Mwambie yna2 akwambie ndugu yangu
cocastic said: Dea plz naomb mnambie, sina aman hapa wallah. Click to expand... Mwambie yna2 akwambie ndugu yangu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 22, 2020 #82,192 Saint Anne said: Kuna mtu karma ashanipa tahadhari halafu sasa Kuna kazi nafanya naye na picha zangu anaona kila siku. Click to expand... Mtakatifu nasi tupe tahadhari jamani loh
Saint Anne said: Kuna mtu karma ashanipa tahadhari halafu sasa Kuna kazi nafanya naye na picha zangu anaona kila siku. Click to expand... Mtakatifu nasi tupe tahadhari jamani loh
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 22, 2020 #82,193 yna2 said: Uwiiii kumbe hadi infoooo...Nilijua anazitoaga zake kwa wanaume wa humu kumbe hata za wenzake..!!!! Salaleeeh!!!! Click to expand... Yes nasikia anatoa hadi za wenzake my dear! Tena bila kuulizwa yaani!
yna2 said: Uwiiii kumbe hadi infoooo...Nilijua anazitoaga zake kwa wanaume wa humu kumbe hata za wenzake..!!!! Salaleeeh!!!! Click to expand... Yes nasikia anatoa hadi za wenzake my dear! Tena bila kuulizwa yaani!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 22, 2020 #82,194 Shunie said: Yaani ninavyotishwa WhatsApp kama nimekuwa mtoto mdogo Click to expand...
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 22, 2020 #82,195 Shunie said: Huyu nani jamaniii Click to expand... Mi mwenyewe bado sijamjua ujue😅😅
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,393 Reaction score 59,137 Dec 22, 2020 #82,196 Chakorii said: Mwambie yna2 akwambie ndugu yangu Click to expand... Usitake nisutweee plizzz
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 22, 2020 #82,197 Shunie said: Jamani natamani kumjua karma ebu kuja pm basi Click to expand... Mwee nilidhani unamjua
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 22, 2020 #82,198 Shunie said: Jamani acheni nileft tu sakayo atanipiga kasema hataki kuniona huku Click to expand... Ukweli my dear usimkwaze zaidi
Shunie said: Jamani acheni nileft tu sakayo atanipiga kasema hataki kuniona huku Click to expand... Ukweli my dear usimkwaze zaidi
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 22, 2020 #82,199 yna2 said: Imebidi tuulizane Kwanza... Click to expand... Daah
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Dec 22, 2020 #82,200 Hivi mmemtaja au bado nilale tu? Kama mnamuogopa niambieni mimi nimtaje.