Yeah, unaweka picha status then anaichukua kuwaonyesha "wanaume", upumbavu wa hali ya juu. Huwa nasema, kuwa makini unapotoa namba yako kwa mtu coz tabia zetu zinatofautiana sana na wanasema duniani Mungu na Teknolojia ndio vitu vya kuogopwa sana.
Sasa, mnapotoa namba zenu muwe makini, siku hizi namba yako ni sawa na wallet unayoweka pesa, vitambulisho vyako, kadi za benki nk, so ni muhimu kabla hujafanya hivyo ujiridhishe. Mfano, leo hii nikiona picha zangu kupitia jf nitajua tu nani amezitoa, so I'm not afraid...