Pole Sana
Huo mkasa wa picha ya huyo dada mpole kusambaa niliusikia..
Hata mm imeniumiza maana Karma alianza nihisi mimi kuwa nimeitoa kumbe Wala hata
na yawezekana niliona status ila sikugundua Kama ni huyo,hata km niligundua basi niliishia kuangalia tu.
Sasa baadaye ndio anakuja niambia masikini mtoto wa watu nashangaa tu
Kumbe na yako inatafutwa?