Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii ni mbaya sana..hivi ni Kwanini asilipuliwe humu ndani ili hii tabia ikome??pengine labda kuna watu huko picha zao zines ambazo a na hawajijui..

Labda yaweza kusaidia akaacha huu upumbavu wake
Tena walimpue tyuuuh huyo muhusika. Ili akome na tabia hii mbaya kwan n ujinga na ulimbukeni khaaah.
 
Duuuh pole sana dear.
 
Huyo mtafutie engo yake kwanza..

Kama unaweza kumfuata mkazungumza itakuwa njia nzuri na ya kibusara lkni pia unaweza ukamwambia pia akalipuka moto.

Hebu mkaushie tu mblock kuruhusu maisha mengine yaendelee usiwe unaona chochote chake.

Haki haipendezi kabisa..
 
Yaani humu unaweza kosana na watu kwa sababu ya mtu mwingine.
Yaani mfano wewe chakorii unaniweka status watsap,mtu anaiba picha yangu kwenye status yako halafu anaisambaza.
Baadaye nakuja kuipata inasambaa na nikikumbuka hiyo picha nilikupa wewe chakorii

Naanza kukuona mbaya kumbe Wala mtoto wa watu huna kosa.
 
Yaan kumbe picha zinachukuliwa status huko tsup? Lol
Sas c unafuta tyuuuh no za muhusika, inakua haon chchte kwako.
 
Tena walimpue tyuuuh huyo muhusika. Ili akome na tabia hii mbaya kwan n ujinga na ulimbukeni khaaah.
Akipita ataona sababu anajijua kama anasoma kimyakimya au anafanyaje ujumbe ushamfikia popote alipo

Tena mimi ndio aniache kabisa anavyotafuta picha yangu aendelee hivyo hivyo

Akili yangu naijua nikishapiga heinekenn zangu nakuja kuweka thread na kumtaja juu
 
Kibao kya ndesi kumbe ndivyo inavyofanyika🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Tena ufanye ivo tyuuuh, ili akome msieeew zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…