Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,386
Halafu hii inafanya uanze kuwafikiria vibaya wote wenye namba yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My dear si bora hata angekuwa anasambaza hizi tunazoweka humu tunajiziba! Anasambaza zile zetu tunazomtumia kule whatsapp na anazoziona kwenye status tukiwa hatujajiziba!
Kama mchunga kondoo wa bwana lakini lolote laweza kutokea wakati wowoteUnaniloga nakuja nyumbani mwenyewe na ng'ombe juu[emoji1]
Utakuwa umeniloga kama mmeo/mpenzi?
We hivi hizo picha umenitumia kweli? Usiniweke mwenzako roho juu juu kama nachemsha maziwa!Nkitambo kwei, ambu imi si mnthu wa kuficha mbui zintatizazo huonga ukwei, nkukunda mndee[emoji7]
Si umeona sasahuhuhuuuuuuuuu🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂🥂Hahahaaa itabidi nifanye jambo kww kweli
Nimejaribu kuyawaza maziwa yanayochemshwaWe hivi hizo picha umenitumia kweli? Usiniweke mwenzako roho juu juu kama nachemsha maziwa!
Duuuuh pole San dea best, ila usjar wee potezea tyuuuh, unafany km hujui lolote vile.JF watu wanajua sana kuchafua wenzao! Ukiwa na moyo mdogo unaweza jikuta unakimbia kabisa mtandao ila wengine tumeamua kukaza mioyo tu tutafanyaje sasa!
HahahHahahah mi mlowezi tu babu[emoji23][emoji23][emoji23]
JF ni ndogo sana ila ina vichochoro vingi 😂😂😂 ni sawa na kujificha nyuma ya jiko la mkaaWe hivi hizo picha umenitumia kweli? Usiniweke mwenzako roho juu juu kama nachemsha maziwa!
Tena rahisi kama kama mtu utakuwa hushughuliki na mambo ya watuWoyoooooooooooh bas Dunia unaiona rahis tyuuuh, saf San dea.
Hahah
Me nilijua we Ndugu bwanaa
Kumbe unafundishwa na Mtu hap pembeni
Eti usije kuharibu watoto[emoji3][emoji3][emoji3]Mimi natamani mwanaume mzuri ili nisije kuharibu watoto kabisa[emoji23][emoji23]
Ila sitaki mzuri Sana kama huyoo mwee[emoji1787]
Yeah dear! Humu tunafahamiana tu ila katika kufahamiana huko kuna watu na viatu cha msingi ni kuwa makini tu wengine ndiyo tushajiharibia!Heeeeh kumbe wengne humu mnawasilian had tsup lol.
Ila sio vzur hii tabia, akanywe huyo muhusika.
Ni kukaza roho na kuelekeza nguvu katika mambo ya msingiJF watu wanajua sana kuchafua wenzao! Ukiwa na moyo mdogo unaweza jikuta unakimbia kabisa mtandao ila wengine tumeamua kukaza mioyo tu tutafanyaje sasa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaanzaje kwa mfano, huo ni usaliti kwa Baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya do the needful sasa totoHhahahhaaha haya leo kwa hakika ni zamu yangu
Hii ni mbaya sana..hivi ni Kwanini asilipuliwe humu ndani ili hii tabia ikome??pengine labda kuna watu huko picha zao zines ambazo a na hawajijui..My dear si bora hata angekuwa anasambaza hizi tunazoweka humu tunajiziba! Anasambaza zile zetu tunazomtumia kule whatsapp na anazoziona kwenye status tukiwa hatujajiziba!
Halafu mtu unaemwamini ndie anaetoa taarifa zako..ni mbaya sanaHalafu hii inafanya uanze kuwafikiria vibaya wote wenye namba yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona eenhHalafu hii inafanya uanze kuwafikiria vibaya wote wenye namba yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yana Makusudi kama niniNimejaribu kuyawaza maziwa yanayochemshwa