Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Dec 22, 2020 #81,781 Thank you loads sis. Makiseo said: Happy Birthday Dear HS.. Click to expand...
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,173 Reaction score 190,740 Dec 22, 2020 #81,782 Shunie said: Extro imi ni dada ako Click to expand... Nteiya kuti we ni dada ila sa mi nkukunda πππ sikunda mbui ziwe kuu ila moyo uzafa kwako
Shunie said: Extro imi ni dada ako Click to expand... Nteiya kuti we ni dada ila sa mi nkukunda πππ sikunda mbui ziwe kuu ila moyo uzafa kwako
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 22, 2020 #81,783 Karma said: Enhe umeona enh wanaume wa kinyakyusa wana damu kali Click to expand... Mno
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 22, 2020 #81,784 Shunie said: Nzuri babe wangu majukumu mama yanatufanya tunaingia jf kwa kubeep Click to expand... Jitahidi basi usipotee namna hiyo loh. Btw nimefurahi kukuona tena jukwaani..I β€οΈ U ....
Shunie said: Nzuri babe wangu majukumu mama yanatufanya tunaingia jf kwa kubeep Click to expand... Jitahidi basi usipotee namna hiyo loh. Btw nimefurahi kukuona tena jukwaani..I β€οΈ U ....
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 22, 2020 #81,785 Extrovert said: Nteiya kuti we ni dada ila sa mi nkukunda sikunda mbui ziwe kuu ila moyo uzafa kwako Click to expand... Khaaaaa yameanza lini haya
Extrovert said: Nteiya kuti we ni dada ila sa mi nkukunda sikunda mbui ziwe kuu ila moyo uzafa kwako Click to expand... Khaaaaa yameanza lini haya
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Dec 22, 2020 #81,786 Shikamoo wanyaki Karma said: Enhe umeona enh wanaume wa kinyakyusa wana damu kali Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 22, 2020 #81,787 Chakorii said: Jitahidi basi usipotee namna hiyo loh. Btw nimefurahi kukuona tena jukwaani..I U .... Click to expand... love u too dear
Chakorii said: Jitahidi basi usipotee namna hiyo loh. Btw nimefurahi kukuona tena jukwaani..I U .... Click to expand... love u too dear
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 22, 2020 #81,788 Shunie said: He he pole huyu msambazaji picha aendelee tu kusambaza picha Halafu kuhusu mimi asipate shida kuomba watu wangu aje kuniomba mwenyewe nitamtumia picha nyingi ahangaike nazo Click to expand... Huyo nahisi yuko kazini na analipwa my dear Ndiyo maana wanaume wengi humu wanamkubali mno sababu anawafanyia kazi yao vizuri
Shunie said: He he pole huyu msambazaji picha aendelee tu kusambaza picha Halafu kuhusu mimi asipate shida kuomba watu wangu aje kuniomba mwenyewe nitamtumia picha nyingi ahangaike nazo Click to expand... Huyo nahisi yuko kazini na analipwa my dear Ndiyo maana wanaume wengi humu wanamkubali mno sababu anawafanyia kazi yao vizuri
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Dec 22, 2020 #81,789 Karma said: Kinyantuzu na Kisukuma ni sawa eenh Click to expand... Ni sawa ndiyo
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Dec 22, 2020 #81,790 Chakoriiiiiii, thank you babes. Uisindikize basi siku ya leo na picha moja ya umini Chakorii said: View attachment 1656756 Heaven Sent Click to expand...
Chakoriiiiiii, thank you babes. Uisindikize basi siku ya leo na picha moja ya umini Chakorii said: View attachment 1656756 Heaven Sent Click to expand...
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,936 Reaction score 30,099 Dec 22, 2020 #81,791 Karma said: Kinyantuzu na Kisukuma ni sawa eenh Click to expand... Ni sawa ndiyo
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Dec 22, 2020 #81,792 Karma said: Huyo nahisi yuko kazini na analipwa my dear Ndiyo maana wanaume wengi humu wanamkubali mno sababu anawafanyia kazi yao vizuri Click to expand... Na picha anazisambaza kwa wanaume unafikili anasambaza wapi ni kwa wanaume mimi nimekutana nazo kwa wanaume
Karma said: Huyo nahisi yuko kazini na analipwa my dear Ndiyo maana wanaume wengi humu wanamkubali mno sababu anawafanyia kazi yao vizuri Click to expand... Na picha anazisambaza kwa wanaume unafikili anasambaza wapi ni kwa wanaume mimi nimekutana nazo kwa wanaume
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 22, 2020 #81,793 Karma said: Itakuwa wameaga kule ziwa victoria Click to expand... Kwakweli aiseh ππ
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 22, 2020 #81,794 Extrovert said: Njoo hadi Kisangara hapa utanikuta Click to expand... Niambie kwanza pale umesemaje ndo nije huko kisangara maana nimeielewa jeiefu tu
Extrovert said: Njoo hadi Kisangara hapa utanikuta Click to expand... Niambie kwanza pale umesemaje ndo nije huko kisangara maana nimeielewa jeiefu tu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 22, 2020 #81,795 Chakorii said: Ni wapumbavu mno Click to expand... Mno yaani Unaweza shangaa chakorii watu Wana mafile yako wewe mwenyewe hujui Tena bora yangekuwa ya kweli.
Chakorii said: Ni wapumbavu mno Click to expand... Mno yaani Unaweza shangaa chakorii watu Wana mafile yako wewe mwenyewe hujui Tena bora yangekuwa ya kweli.
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,173 Reaction score 190,740 Dec 22, 2020 #81,796 Chakorii said: Niambie kwanza pale umesemaje ndo nije huko kisangara maana nimeielewa jeiefu tu Click to expand... njoo pm
Chakorii said: Niambie kwanza pale umesemaje ndo nije huko kisangara maana nimeielewa jeiefu tu Click to expand... njoo pm
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 22, 2020 #81,797 Heaven Sent said: Chakoriiiiiii, thank you babes. Uisindikize basi siku ya leo na picha moja ya umini Click to expand... πππ Mpiga picha wangu kaenda machungani kuchunga..mpka arudi jioni.. Sasa unaonaje ukaweka sasa hivi kitu cha picha kwakuwa ni siku yako muhimu.. Mimi nikamalizia baadae...unaonaje β€οΈ ππni wazo tu
Heaven Sent said: Chakoriiiiiii, thank you babes. Uisindikize basi siku ya leo na picha moja ya umini Click to expand... πππ Mpiga picha wangu kaenda machungani kuchunga..mpka arudi jioni.. Sasa unaonaje ukaweka sasa hivi kitu cha picha kwakuwa ni siku yako muhimu.. Mimi nikamalizia baadae...unaonaje β€οΈ ππni wazo tu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 22, 2020 #81,798 Karma said: Huyo nahisi yuko kazini na analipwa my dear Ndiyo maana wanaume wengi humu wanamkubali mno sababu anawafanyia kazi yao vizuri Click to expand... Zako hazijasambaa rafiki yangu? Halafu mbona picha zenyewe tunaweka humu kila siku,kumbe kuna watu wanahangaika kuzisambaza tena?
Karma said: Huyo nahisi yuko kazini na analipwa my dear Ndiyo maana wanaume wengi humu wanamkubali mno sababu anawafanyia kazi yao vizuri Click to expand... Zako hazijasambaa rafiki yangu? Halafu mbona picha zenyewe tunaweka humu kila siku,kumbe kuna watu wanahangaika kuzisambaza tena?
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Dec 22, 2020 #81,799 Extrovert said: njoo pm Click to expand... We njoo nimewaacha mlango wazi basta
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Dec 22, 2020 #81,800 Saint Anne said: Kweli mdogo wangu Watu huwa wanakomaa tu kusema rangi Click to expand... Wengi wao huwa wanazitaman, Wanajifariji tyuuuh.
Saint Anne said: Kweli mdogo wangu Watu huwa wanakomaa tu kusema rangi Click to expand... Wengi wao huwa wanazitaman, Wanajifariji tyuuuh.