Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

My spiritual Sister......... What an honor. Na ikawe hivyo kwa utukufu wa Mungu. Thank you swts.
Hbd rolo modo my spiritual sister
Bwana akubarikie na kukulinda..
Uendelee kukua katika neema, hekima na maarifa ukimpendeza Mungu na wanadamu.
Bwana akuinulie nuru za uso wake na kukufadhili.
Akuinulie uso wake na kukupa amani siku zote.
 
Sijamuona

Yaani huyu kaka ni mzuri,yaani mzuri mno jamaniJana nimeangalia clip Yake Mara 2 2 simmalizi
MUNGU fundi Sana
Tangu zamani tetesi zilikuwa zinasambaa kuwa jamaa hapendi kuvua mask sababu ana sura ya kike! Japo alishavuliwa mara kadhaa ulingoni na wapiganaji wenzie!

Na hapo ni ana miaka 46 ila ndiyo ana kasura hako sasa pata picha kalivyokuwa kayanki ndiyo kanaanza miereka! Na kanavyovaa na hereni sasa ndiyo kabisa mdada huyu hapa!
 
Haki sikutegemea kama ni m-cute hivyo. Nilikuwa napenda sana anavyopigana kwa tektiniki zake amazing
 
Tangu zamani tetesi zilikuwa zinasambaa kuwa jamaa hapendi kuvua mask sababu ana sura ya kike! Japo alishavuliwa mara kadhaa ulingoni na wapiganaji wenzie!

Na hapo ni ana miaka 46 ila ndiyo ana kasura hako sasa pata picha kalivyokuwa kayanki ndiyo kanaanza miereka! Na kanavyovaa na hereni sasa ndiyo kabisa mdada huyu hapa!
Aiseee
Kumbe ana 46!
Jamaa namkubali sana style yake ya kuruka kwa kujizungusha Kwenye kamba.. Nilikuwa naumia Sana akipigwa, sasahivi nimemuona alivyo usoni nadhani nitaumia maradufu akipigwa.
 
Back
Top Bottom