Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Akuuuu...sihusiki😅😅Hahahaha, utakua we mmoja wapo
Akuuuu...sihusiki😅😅Hahahaha, utakua we mmoja wapo
Hahahaha ,we Rafiki na uhakika SAA hz uko rombo mashatiAkuuuu...sihusiki[emoji28][emoji28]
Yaani alikuwa akipiga ile style yake 6-1-9 utamtakaHaki sikutegemea kama ni m-cute hivyo. Nilikuwa napenda sana anavyopigana kwa tektiniki zake amazing
😅😅😅nimetoka rombo masuruali nataka nije huko ulipo.inawezekanaHahahaha ,we Rafiki na uhakika SAA hz uko rombo mashati
Hahahaha, karibu sana ,Mang'ula Ifakara[emoji28][emoji28][emoji28]nimetoka rombo masuruali nataka nije huko ulipo.inawezekana
Hata ingekuwa makitu gani sijui...nakuja hivyo hivyo waaaahhhiiiHahahaha, karibu sana ,Mang'ula Ifakara
Hahahaha, karibu SanaHata ingekuwa makitu gani sijui...nakuja hivyo hivyo waaaahhhiii
Yes hiyo style yake aliipa jina la six-one-nine na hiyo ndiyo ikawa a.k.a yakeAiseee
Kumbe ana 46!
Jamaa namkubali sana style yake ya kuruka kwa kujizungusha Kwenye kamba.. Nilikuwa naumia Sana akipigwa, sasahivi nimemuona alivyo usoni nadhani nitaumia maradufu akipigwa.
Chap kwa haraka jiandae kunipokeaHahahaha, karibu Sana
Hahahaha, haina tatizo Rafiki, nimekuwekea "pepeta"Chap kwa haraka jiandae kunipokea
Nini “pepeta”..😝😝😝weka hata chambuaHahahaha, haina tatizo Rafiki, nimekuwekea "pepeta"
HahahahaNini “pepeta”..[emoji13][emoji13][emoji13]weka hata chambua
Yaani alikuwa akipiga ile style yake 6-1-9 utamtaka
Happy birthday Heaven Sent
Mdada mwenye hekima, busara, upole, ukarimu,
Jah blec u ever, uishi miaka mingi km number zako za simu.
Jah akufanikishie Yale yote uliyoshindwa kutimiza, kwa uwezo wake yakatimie.
Akuongezee baraka na fanaka teke, upate kushuhudia na kuona uwezo wake yeye muumba wa mbingu na ardhi.
Enjoy moaaah dea cc. View attachment 1656378
[emoji44]Hahahaha ,we Rafiki na uhakika SAA hz uko rombo mashati
Nani mwenzangu[emoji44]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We ni bantu figure bila shaka, nitakununulia mojaBwana bwana mambo tafrani, haya wavae wenye neema zao.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Aisehh hilo bantu figure si ndiyo matata sana vijana wa mjini wanatolea mateAna watoto watatu, amejitahidi sana kutengeneza hiyo English figure lakini anaishia na bantu figure[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]