Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,237
- 95,465
Wengine siwaoni humu au wameenda kuhesabiwa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wengine hata Madera hayatukai[emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nicomment wapi mimi?Mdogo wangu cheka taratibu maana hali si nzuri[emoji1787]
Ana watoto watatu, amejitahidi sana kutengeneza hiyo English figure lakini anaishia na bantu figure[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kwani Espy wewe ni inglish figure au bantu figure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
..nenda mwana kwenda!Watoto unawaacha na nani? Mie sirudi hadi January eti!!
Nyie msubirie ronya zenu, muombe ziwe zimeshepiwa kabisa, sio hizi zetu zinashepiwa na mwili[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nicomment wapi mimi?
Babe si tulikubaliana wewe ndio kimbe pekee hapa duniani unatakiwa unisifie tu hata vya uongo jamani[emoji2297][emoji2297]Ana watoto watatu, amejitahidi sana kutengeneza hiyo English figure lakini anaishia na bantu figure[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
@Makiseo njoo ushudie mwenyewe mambo ninaambiwa na huyu mtu, halafu atasema mimi ndio namnyanyasa[emoji24][emoji24][emoji24]..nenda mwana kwenda!
Kwani napenda English figure babe! Hivyo ulivyo na hilo li bantu lako mimi uwiiiii, nashika vinashikika babe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Babe si tulikubaliana wewe ndio kimbe pekee hapa duniani unatakiwa unisifie tu hata vya uongo jamani[emoji2297][emoji2297]
Hem' mwache shem, anatuandalia sherehe ndogo ya kufungia mwaka!!@Makiseo njoo ushudie mwenyewe mambo ninaambiwa na huyu mtu, halafu atasema mimi ndio namnyanyasa[emoji24][emoji24][emoji24]
Mwanae pia anapigana mieleka.Sijamuona
Yaani huyu kaka ni mzuri,yaani mzuri mno jamani[emoji7]Jana nimeangalia clip Yake Mara 2 2 simmalizi
MUNGU fundi Sana[emoji119]
Haya ndio mambo sasa[emoji7][emoji7][emoji7]Kwani napenda English figure babe! Hivyo ulivyo na hilo li bantu lako mimi uwiiiii, nashika vinashikika babe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Anawaandalia wewe na nani?Hem' mwache shem, anatuandalia sherehe ndogo ya kufungia mwaka!!
Khaaaaaa[emoji848]Nyie msubirie ronya zenu, muombe ziwe zimeshepiwa kabisa, sio hizi zetu zinashepiwa na mwili[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha.. Itakiwa ile ruhusa kaamua kulegeza masharti. AU?@Makiseo njoo ushudie mwenyewe mambo ninaambiwa na huyu mtu, halafu atasema mimi ndio namnyanyasa[emoji24][emoji24][emoji24]
Napenda vinavyoshikika babe[emoji8][emoji8][emoji8], hata ikiwa bila bila kwa mwaka, macho yanatosheka![emoji39][emoji39]Haya ndio mambo sasa[emoji7][emoji7][emoji7]
Kwa mwaka mara mbili[emoji12]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hatari sana ShemHem' mwache shem, anatuandalia sherehe ndogo ya kufungia mwaka!!
Huenda shem, amekuwa mtii sana wiki hii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha.. Itakiwa ile ruhusa kaamua kulegeza masharti. AU?
Sent using Jamii Forums mobile app