Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
😅😅huu mwandiko wako umekaa kishambenga sana🤝🤝🤝Hallow na utateseka sanaaaah, maan ndo kwanza penzi jipyaa halijakolea vizuriiiiiih,
Maumivu yakizidi muone daktari.
Waleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
![]()
😅😅huu mwandiko wako umekaa kishambenga sana🤝🤝🤝Hallow na utateseka sanaaaah, maan ndo kwanza penzi jipyaa halijakolea vizuriiiiiih,
Maumivu yakizidi muone daktari.
Waleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
![]()
Sio kwamba sitakuwepo..hapana nitakuwepo lakni nitakuwa napita kimya kimya kama Alivyo awali.nikiguswa sana na mada nitachangia kidogo.This is no good at all
Dea hapan bhanaah, mara 1 nakuwa mwajuma ndala ndefu, afu narud ktk hali ya gracious.huu mwandiko wako umekaa kishambenga sana
![]()






Utalogwa upunguze hisia/mapenzi kwangu wakati mwenzio nasinzia nikikuwaza miaka rudi miaka nenda kila siku ya kalenda.Awezi dya sisi wasukuma hatuwezu hyo
Never happen loveUtalogwa upunguze hisia/mapenzi kwangu wakati mwenzio nasinzia nikikuwaza miaka rudi miaka nenda kila siku ya kalenda.
Atakuwa muarusha, huyu dogo kachanganya. AR ndio kuna mambo meusi.




Oh hallelujahHabarini wana selfika ...Nawasalimu katika jina la Kristo Yesu aliye hai..niliwamiss wote..nilikuwa likizo sasa narejea muda si mfupi
Baba kwani wewe ni Mpare wa wapi??..enjoy mkuu!
Ooh!!...vizuri sana.Never happen love
Huyo mpare akiona unavoongea hapa kufumba na kufumbua unachezea cha mbavu..Wee wapare ni smart kila kityuuuh, yaan kwa huyu kwake sifurukuti wala kuhema, nipo tayari kufa kwa ajiri yake.
Mapenzi matamu bhanaaah.
Haha, Mombasa dah! Dota bwana!
Huyo atakuwa wa mombasa bana

Karibu sana Kaka Mshana.. Ni furaha kurejea tena mahali hapa.Habarini wana selfika ...Nawasalimu katika jina la Kristo Yesu aliye hai..niliwamiss wote..nilikuwa likizo sasa narejea muda si mfupi


Hichi Kiingereza Shem????sabbatical leave!