Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni vyenye simjui ila wapare mbona ni smart sana jmn maan kuna mwingine uku loooh kila hakitoka nje jua kinazima basi wanawake wanavo mzimikia loooh
Wee wapare ni smart kila kityuuuh, yaan kwa huyu kwake sifurukuti wala kuhema, nipo tayari kufa kwa ajiri yake.
Mapenzi matamu bhanaaah.
 
Wee wapare ni smart kila kityuuuh, yaan kwa huyu kwake sifurukuti wala kuhema, nipo tayari kufa kwa ajiri yake.
Mapenzi matamu bhanaaah.
Dah, kwa mara ya kwanza wapare wamesifiwa ila hizi sifa[emoji23][emoji23][emoji23], bora tungebaki hivyo hivyo!!

Mkuu enjoy na mpare wako, au umechanganya mzee, atakuwa muarusha huyu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom