Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,321
Nilitaka kusema kitu hapa..Najifunza kunyamaza..enjoy mkuu!
Nilitaka kusema kitu hapa..Najifunza kunyamaza..enjoy mkuu!
SawaDea hapan bhanaah, mara 1 nakuwa mwajuma ndala ndefu, afu narud ktk hali ya gracious.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema shem, huenda nimekosea mahali. Hata kwa kuninong'oneza [emoji39]Nilitaka kusema kitu hapa..Najifunza kunyamaza
Sijui hata kimetoka wapi shem[emoji23][emoji23], nimekaa hapa na vitu vikali huenda ndio vimepelekea kuandika hivi[emoji39]Hichi Kiingereza Shem????
Hujakosea Shem. Wewe ni mtu mwenye busara sana. Ni vile hiyo jamii siyo.. Wanaongea sisi tuna afadhali..Sema shem, huenda nimekosea mahali. Hata kwa kuninong'oneza [emoji39]
Karibu sana brother, karibu na beer piaHabarini wana selfika ...Nawasalimu katika jina la Kristo Yesu aliye hai..niliwamiss wote..nilikuwa likizo sasa narejea muda si mfupi
[emoji818][emoji1548][emoji1534][emoji1533][emoji39][emoji39][emoji39]Karibu sana brother, karibu na beer piaView attachment 1652510
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui hata kimetoka wapi shem[emoji23][emoji23], nimekaa hapa na vitu vikali huenda ndio vimepelekea kuandika hivi[emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi mbavu znauma lol, uwezo huo wa kunipa cha mbavu autoe wapi?Huyo mpare akiona unavoongea hapa kufumba na kufumbua unachezea cha mbavu..
Mic u moaaah, [emoji7][emoji7][emoji7]Sawa
Nlitak niseme kitu ila bas.................Hujakosea Shem. Wewe ni mtu mwenye busara sana. Ni vile hiyo jamii siyo.. Wanaongea sisi tuna afadhali..
Mie huku mate yanachuruzika tyuuuh. [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Aaah hizi lugha za watu acha tu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimechekaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app