Karibuuu 🙂🙂Mie huku mate yanachuruzika tyuuuh. [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hatareeeeeh sanaaah[emoji57][emoji57][emoji57]View attachment 1652595
Nakuja dea,Karibuuu [emoji846][emoji846]
Miss you 😘Mic u moaaah, [emoji7][emoji7][emoji7]
Unaboard deluxe mkuu ??Family time, moshi see you soonView attachment 1652584
Mbna unakua adimu iv lol, miss San u chibongeeh.Miss you [emoji8]
Haya mrembo [emoji17][emoji17][emoji17]Sio kwamba sitakuwepo..hapana nitakuwepo lakni nitakuwa napita kimya kimya kama Alivyo awali.nikiguswa sana na mada nitachangia kidogo.
Bado tuko pamoja sanaaa..
JF siezi hama Chief
Bado nilizipata ila sijapata muda kuzifungua, unarudi lini halafu uje kupata mbuzi na kondoo chomaBro kwema. Ulifanikisha mzee?
Nipo kwenye harakati bro, mipango ikikaa sawa ASAP nitakuwa pande hizo. Hapo kwenye mbuzi choma ndio sitaki kupakosa kabisa.Bado nilizipata ila sijapata muda kuzifungua, unarudi lini halafu uje kupata mbuzi na kondoo choma
Lizy kumbe chura ipo ehh yes mambo mazuri hayo [emoji38][emoji38][emoji38],[emoji57][emoji57][emoji57]View attachment 1652595
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]Sio kwamba sitakuwepo..hapana nitakuwepo lakni nitakuwa napita kimya kimya kama Alivyo awali.nikiguswa sana na mada nitachangia kidogo.
Bado tuko pamoja sanaaa..
JF siezi hama Chief
Thubutuuuuu...niwakimbie nimerogwa..haiwezi kutokea mamaaa[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Kwahiyo ndio unatukimbia
Kwanini nini kimetokeaThubutuuuuu...niwakimbie nimerogwa..haiwezi kutokea mamaaa
Nani anamfukuza jiran yangu[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Kwahiyo ndio unatukimbia
Ooh hapo sawaThubutuuuuu...niwakimbie nimerogwa..haiwezi kutokea mamaaa
Soma ile comment yakeNani anamfukuza jiran yangu
Okey nimekuelewaSoma ile comment yake
Design kama anatuaga hivi