sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,726
- 8,906
Na ni muongo kweli alimdanganya mtu huko eti ana miaka 68[emoji3]
Na ni muongo kweli alimdanganya mtu huko eti ana miaka 68[emoji3]
Haswaaaaah dea me nimezama mwenzio kwenye kina kirefu cha mapenzi kwa mpare huyu.Wacha bhana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pengine yupo kwa Trump huko anakula maisha.
Chat na picha
SHIMBA ni ana mambo yake.. Usimuamini sana..Mimi Dada yake kuna mahali inabidi niwe mpole...Na ni muongo kweli alimdanganya mtu huko eti ana miaka 68[emoji3]
Usimfanyie hivyo rafiki yangu linah.muonee huruma bas japo kidog[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anaugulia moyoni machoz ya samaki yule mtu[emoji2]
Me nisha mfungulia milango yote ila hataki kuingiaUsimfanyie hivyo rafiki yangu linah.muonee huruma bas japo kidog
Haswaaaaah dea me nimezama mwenzio kwenye kina kirefu cha mapenzi kwa mpare huyu.
Zaman ndo nlkua mcharuko ila saiv, kwa mpare huyu ananipa kityuuh roho inapenda, mmmmh nimekua mpolee, msikivu, c unajua me mke wa mtu saiv.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Unazingua, nimejikuta nacheka, maana umenisuta hata wakina Chakorii hawakufiki, [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Tena mazima haswaaaaaah, kwake sifurukuti na sitoki.View attachment 1649768
Usiniambie umezama kwa urewedi...
Wee mchokozi iv lol, afu me ktk maish Yang sjawah kuwa mcharuko, tena me mpoleee, mkmya, huwez amin yaaa.Wanakuwaga na michambo hao usiwaguse[emoji38][emoji38].
Hujambo lakini
Hebu nikuulize swali kipenzi changu.Tena mazima haswaaaaaah, kwake sifurukuti na sitoki.
Af uzuri wake kanielewa ile mbayaaaaah,
Ila mie nae lol, mapenzi ya ukubwan haya shida tyuuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila unaonekana unamajigambo babe ake...Wee mchokozi iv lol, afu me ktk maish Yang sjawah kuwa mcharuko, tena me mpoleee, mkmya, huwez amin yaaa.
Hat wanao nijua watakuambia, c unajua Elimu na Exposure,
Afu nimekulia kweny familia inayojiweza, inayomjua JAH,.
Sina uswahili kabisaaaaah.
Me tooo....umepotea sana siku hizi 😏Nlkumic mwayaaaaah lol