ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 54,489
- 126,769
Ukiona wivu kwa dadako nitakushangaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona wivu kwa dadako nitakushangaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata sijaona wivu[emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85]Ukiona wivu kwa dadako nitakushangaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Na kweli, hakyanani naumiza kichwa hapa hatari. Sijui kwa nini ulinishawishi kuzaa watatu[emoji2307][emoji2307][emoji2307]Tunaondoka kesho tunarudi njanuary. We tulia usitoke utunze ada za watoto hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
@Makiseo shemeji yangu, mdogo wako ana wivu!Hata sijaona wivu[emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Mwee wewe ndiyo uko wapi hapo jamani
Hapo sasa guddaaaah bibi, na wee utii ukiruhusiwa kutoka sio usingzie umechoka lol
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu, Espy ni babe wangu toka zamani sana. Sasa jifanye unajua kutembelea wake za watu utapata zawadi yako.
Wewe upo wapi kati ya hawa mama matata
Babe huoni ilivyo raha kuitwa baba kila upande?Na kweli, hakyanani naumiza kichwa hapa hatari. Sijui kwa nini ulinishawishi kuzaa watatu[emoji2307][emoji2307][emoji2307]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]@Makiseo shemeji yangu, mdogo wako ana wivu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha...dada yangu huyo Espy mkuu.
Wewe ni shemeji yangu japo bado sijatambulisha ila huwa nawaona mchati kama wapenzi[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2307][emoji2307][emoji2307]Babe huoni ilivyo raha kuitwa baba kila upande?
Hayo mengine madogo tunayasort tu out[emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki ujinga mimi....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe unaweza kutoa vitisho!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh!!...Nilikuwa sijui au itakuwa nimesahau dada yangu.
Haswaaaaaaah bibi [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Bila shaka [emoji1690].
Ndio maana nilitaka nikutoe tukapange nini tunafanya, ila ukajifanya mjanja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2307][emoji2307][emoji2307]
Wewe unaona raha wakati umevunja vikoba hata hujasema umepata ngapi mama, si tunasaidiana mtu wangu