Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,929
Kuchepuka ni uamuzi ujue!! Haihitaji visingizio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafanya niwaze kuchepuka sasa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchepuka ni uamuzi ujue!! Haihitaji visingizio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafanya niwaze kuchepuka sasa!
Kweli ni maamuzi, lakini baada ya wewe kuninyima haki yangu ya msingi kabisa...
Sijakunyima babe, umejinyima.Kweli ni maamuzi, lakini baada ya wewe kuninyima haki yangu ya msingi kabisa...
Polisi ni rafiki wa raia na sio adui [emoji1787][emoji1787]Utatafutwa na polisi.
Ohhhhhhh okey sasa naelewa.. Ah wewee hata mimi, nimekumiss mno, ulipotelea wapi, ukaamua kubadilisha na ID, ndiyo maana nikawa najiuliza hivi huyu mtu mwenye katabia kakusema chati na picha nimlisikia wapi, karibu tena mpendwa nimekukumbuka mno mnoooo [emoji8]Picha zangu za Hawachi zimejaa kwenye pm yako mpendwa
Aah aah basi hakuna namna.Polisi ni rafiki wa raia na sio adui [emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo unaanza na kipi vifaranga, mtetea au jogooAah aah basi hakuna namna.
[emoji23][emoji23]
Option ni yako.Kwahiyo unaanza na kipi vifaranga, mtetea au jogoo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Nasikia ni mbobezi wa chini chini
Atajua hajuiAnafeli sana, sitaki shemeji wa hivyo
Poaaaaah
Vizuri sana kama uko poaPoaaaaah
Naomba maharagwe ya nazi yenye pilipili lizzy na chai ya maziwa nizishushe hapa haraka hizo chapati [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Iceberg9 anza kusogea sogea karibu [emoji846]View attachment 1650955
Kwanini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atajua hajui
Nimekuja mbio zote nizifyeke nakula tatu tatuIceberg9 anza kusogea sogea karibu [emoji846]View attachment 1650955