Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hebu nikuulize swali kipenzi changu.

Kwahiyo na wewe utakuja kubeba mimba kama mimi??maana unanivuruga ujue.

Au familia yako haitokuwa BMW
Kwanini nisibebe mimba? Mchawi pesa tyuuuh, tunapanda majuu kupandikiza.
Jomoneeeeeeeeeh dea heb mnipumzishe kwan, natulia na ndoa yangu saiv, subir wakat ufike uje kula wali.
 
Hahaa kumbe ni muongo!
Anakudanganya.. unamchezea SHIMBA wewe[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
sawima bageshi. Usimsikilize Makiseo. Kama upo mitaa hii sema tukutane hata siku ya mnada tule nyama za kuchoma. Makiseo naona naye siku hizi ameanza viukorofi korofi sijui kwa nini. Home miye ni huko Nyaumata. Ukifika hapo Maswina walipojenga hospitali ya mkoa unakata Magharibi kidogo tayari unafika nyumbani...
 
Ila unaonekana unamajigambo babe ake...

Tuachane na hayo.

Mwandiko wako unaonyeshaga wewe hupendigi maneno wala ugomvi.

I’v Seen that for a very long taimu babe
Majigambo baada ya kupata mwenza dea, c unajua mapenzi ya ukubwani Dunia yote naiyona yangu, bas me na slay tyuuuh.
Napenda ucheshi na drama zako, love u San [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
#Daladalani
20201214_120254.jpg
 
Zaman ndo nlkua mcharuko ila saiv, kwa mpare huyu ananipa kityuuh roho inapenda, mmmmh nimekua mpolee, msikivu, c unajua me mke wa mtu saiv.
Afu mniheshimu humu ndan, me ni mke halali wa mpare huyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe na mpare mnahitaji maombi ya ziada [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
sawima bageshi. Usimsikilize Makiseo. Kama upo mitaa hii sema tukutane hata siku ya mnada tule nyama za kuchoma. Makiseo naona naye siku hizi ameanza viukorofi korofi sijui kwa nini. Home miye ni huko Nyaumata. Ukifika hapo Maswina walipojenga hospitali ya mkoa unakata Magharibi kidogo tayari unafika nyumbani...
Mmmmhhhhhhh[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom