Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Wolf acha uchokozi basi jamani 🥴🥴No offense na mimi siyo homophobic ila ni kweli laini laini sana hakawii kukuzunguka siku moja naye akaenda kucharazwa, au akitua jela anabebwa juu juu, huyo ukimuwekea maziwa ya bandia anafanana na cappuccino tunda
No offense na mimi siyo homophobic ila ni kweli laini laini sana hakawii kukuzunguka siku moja naye akaenda kucharazwa, au akitua jela anabebwa juu juu, huyo ukimuwekea maziwa ya bandia anafanana na cappuccino tunda





wee una nini lakini, mie huyu anizunguke akapigwe mti nyama nisijue lol, af hayupo ivo huwa siend kwa misago, sasa si bora nijiself na dildo tyuuuh.
industry hakna nisichokijua, yaan naijua gayism kuliko inavojijua yenyewe. We mwenyewe hujawahi kutubariki humu Shimba. Ungeanza wewe ingekuwa mfano mzuri sana!!!👊🏾👊🏾Sijawahi kuona picha yako mpendwa. Weka hata kiwiko tu
Wala sio real top, huyo unae mzungumzia n versatile, msichanganye files, sema maudhui hayaruhusu ninge wadadavulia vizuri kabisaaaah.Nasikiaga hata matop nao wanaweza kuwa mabotton anytime. Ni sawa tu na dykes. Mara moja moja nao wanaweza kuuchezea tu. Dunia hii we acha tu![]()
Asante mpenzi 🤗🤗
Kagauni kazuri
Mimi zipo kibao huko juu. Tangu uzi huu ukiwa mpya mpyaWe mwenyewe hujawahi kutubariki humu Shimba. Ungeanza wewe ingekuwa mfano mzuri sana!!!![]()



Ukiwa mtu wa matatizo unayazoea hadi unaona kawaida tu...








Naomba unigawieAsante mpenzi![]()

Yeahhhhh kwa kweli umejitahidi mno ubarikiwe sana mtoto mzuri, chai ya tangawizi muwasho wa koo ni vyema zaidi, nikipata na maji ya baridi inapendeza zaidiMaharage umepata Iceberg....sema utanisamehe sikuweka pilipili. Na chai ni ya rangi ila imetupiwa tangawizi na pilipili manga kidigo. I hope that's owwkey
View attachment 1651006
😀 😀 👋Ukiwa mtu wa matatizo unayazoea hadi unaona kawaida tu...
Ahhhhh mkuuMashairi mnaimbiwa Wapare hayo ohoo![]()



mimi nimebaki nacheka tu, mimi sio mpare banah, naona wapare wana overtake wazalamo

Dah picha la kibabe, movie inaanza steringi anatakiwa afe mzee nichukue mtoto huyo



Mmmmh bibi wa mahaba ulipotea wapi? Nlikumic mwenzio lol.That’s my man....
See them rhomboids![]()




Mmmmh bibi wa mahaba ulipotea wapi? Nlikumic mwenzio lol.
![]()
Likizo wap huko hapa Bongo penye joto km moto wa kifuu? Au huko majuu ughaibuni?Nimefichwa na babu yenu, tuko likizo.
Likizo wap huko hapa Bongo penye joto km moto wa kifuu? Au huko majuu ughaibuni?
That’s my man....
See them rhomboids![]()




Ahhhh kwenda zako huko 🤨🤨Mimi zipo kibao huko juu. Tangu uzi huu ukiwa mpya mpya![]()