Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,666
..mpare tena!...yaani kabisa ni mpare? Nilitaka kuongea kilugha lakini basi mkuu.







..mpare tena!...yaani kabisa ni mpare? Nilitaka kuongea kilugha lakini basi mkuu.







Hata hujafurahi shem wangu!Sawa Shem.. nafurahi.
Nimepata mixed feelings, sijui nimeumia au nipo kawaida. Terrible asee, sema siwezi kuwa jaji.
Kupatwa kwa Wapare..mpare tena!...yaani kabisa ni mpare? Nilitaka kuongea kilugha lakini basi mkuu.





Kufurahi ndiyo unafanyaje??Hata hujafurahi shem wangu!
Hakika mkuu ShimbaKupatwa kwa Wapare![]()
Thank you daddy...😘😘😘ubarikiwe mno😅😅
Sawa beibi nakutuwaKwanini nisibebe mimba? Mchawi pesa tyuuuh, tunapanda majuu kupandikiza.
Jomoneeeeeeeeeh dea heb mnipumzishe kwan, natulia na ndoa yangu saiv, subir wakat ufike uje kula wali.
Babe ulitaka kusema nini?..mpare tena!...yaani kabisa ni mpare? Nilitaka kuongea kilugha lakini basi mkuu.



Hata najua basi? Nataka tu unibembeleze.Kwani ukininunia unafaidika nini?
Babe!!!Nimepata mixed feelings, sijui nimeumia au nipo kawaida. Terrible asee, sema siwezi kuwa jaji.
Mimi kivuruge? ChakoriiThank you daddy...ubarikiwe mno
kumbe ndo wewe ngosha (T 1990 ELY ).no wanda....kwa mwili huo ukawa kivuruge
Daddy Chakorii ubarikiwe
wacha bhana 😅😅Majigambo baada ya kupata mwenza dea, c unajua mapenzi ya ukubwani Dunia yote naiyona yangu, bas me na slay tyuuuh.
Napenda ucheshi na drama zako, love u San![]()