Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

sawima bageshi. Usimsikilize Makiseo. Kama upo mitaa hii sema tukutane hata siku ya mnada tule nyama za kuchoma. Makiseo naona naye siku hizi ameanza viukorofi korofi sijui kwa nini. Home miye ni huko Nyaumata. Ukifika hapo Maswina walipojenga hospitali ya mkoa unakata Magharibi kidogo tayari unafika nyumbani...
Hahaha basi nitakutafuta tukale nyama choma Dutwa.
 
Hahaha basi nitakutafuta tukale nyama choma Dutwa.
Dutwa machimboni watu wanapiga hela sana mkuu.

Upo Bariadi-Simiyu?
20201207_152409.jpg
20201207_152820.jpg


Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Zaman ndo nlkua mcharuko ila saiv, kwa mpare huyu ananipa kityuuh roho inapenda, mmmmh nimekua mpolee, msikivu, c unajua me mke wa mtu saiv.
Afu mniheshimu humu ndan, me ni mke halali wa mpare huyoo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
..mpare tena!...yaani kabisa ni mpare? Nilitaka kuongea kilugha lakini basi mkuu.
 
Back
Top Bottom