Raha ya nyumba mwanaume, wacha nikutunze,
Nyumba yetu tuipambe, huko nyuma tulishindiaga mabwende,
Karanga na makande, kuku ugali dona sembeee,
Usinune kwa maneno ya majirani wanoko, hawaishi longolongo,
Vimaneno km viroboto, wanakesha wakiomba unichapege mkong'oto,
Jamani sielew babeeh juaaaa, ukimuona furaha tele moyoni,
Nikomuona anatabasamu usoni.
NAOMBA UNIROGE ×2
kwani mapenzi matamuuuuuuh.
NAOMBA UNIROGE ×2.
mjanja wa cocastieeeeeeeeeeeh.
View attachment 1649575