Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,930
Kumbe nae msukuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lizarazu umemuachia wapi?
Wasukuma[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Bora T 1990 ELY
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe nae msukuma[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lizarazu umemuachia wapi?
Mnyaki mpole we ulimuona wapi?Yaani nyie muwe wapole kutuzidi sisi??
Ulisikia wapi?[emoji1787]View attachment 1648289
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnaongelea makabila mnataka kutambika? [emoji16][emoji16][emoji16]
(In Mwl. Nyerere's voice)
mnyaki wa wapi mkuu...Haha Wanyakyusa tunajuana kumbe
Shukrani mkuu karibu Safari
[emoji16][emoji16]
Wa Chyela wewe wa wapi mkuumnyaki wa wapi mkuu...
mkuu safari is my favourite
asante
Ushaanza
Asee, umeni bariki Mama mchungaji.
Navaaga ila si sana kama suruali, mfano hapa sikumbuki last time kuvaa gauni ni lini miezi huko, mwendo wa trousers tu na skirts kidogo
Una visanga we bhagesh🤪🤪🤪🤪
Chibongeee huyoooh [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Makiseo hebu ukuje darling umuwish msukuma leo nae anasabidei eti, angalau wewe una maneno matamu matamu.
Sijui kala wadudu gani leo maana kwenye matunda alihama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiachilia hizo Shrimp, vingine vyote ni [emoji39][emoji39][emoji39]
Mkuu hutumii prawns? [emoji2][emoji2][emoji2]Ukiachilia hizo Shrimp, vingine vyote ni [emoji39][emoji39][emoji39]
Hapana bro....Mkuu hutumii prawns? [emoji2][emoji2][emoji2]