Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani nyie muwe wapole kutuzidi sisi??
Ulisikia wapi?
IMG-20201210-WA0053.jpg
 
Mtumishi wahenga si huwa tunamshukuru tu Mungu kimya kimya then hep sabidei inakuwa imeisha. Na ikiwa situation kama yako, mixed feelings tu.

Basi nami kama Mtumishi; haya ni maombi yangu kwako;

-Jina lako likavishwe taji ya heshima; ukaketi katikati ya wakuu.

-Ukapate kibali, mbele za Mungu na wanadamu. Vitu na watu wakakuitikie.

-Itabarikiwa asubuhi yako, mchana, jioni na usiku wako. Utabarikiwa uingiapo na utokapo.

- Kama ambavyo umekuwa baraka kwa wengi; Mungu azidi kukufanya baraka, faraja, tumaini na kimbilio la wengine.

-Hatua zako zikaimarike; usianguke wala usisimame; ukasonge mbele daima.

-Mungu na akafanye njia pasipo na njia, akafungue milango na malango yako; palipo na giza na ikawe nuru.

-Mungu akaumbe na kuhuisha kila kilichokuwa kimekufa kwenye maisha yako; na akurejeshee kila kilichokuwa kimepotea.

-Ukaongezeke na kustawi sana juu ya nchi. Ukafanywe bora mara kumi zaidi ya wengine

-Ukajawe na maarifa na ufahamu usije ukaangamizwa

-Hutokosa wala kupungukiwa chochote cha muhimu kwa ajili ya kutunza familia, jamii na kanisa la Mungu.

-Wana na mabinti zako wakaitwe waliobarikiwa.

-Uzao wako ukakufanye utajwe malangoni.

-Ukaishi maisha marefu yenye afya, furaha na amani. Ukawalee watoto wako na wajukuu zako


Yohana 20:20
"Mwivi haji ila aharibu na kuvunja na kuchinja, bali mimi nimekuja ili muwe na uzima kisha muwe nao tele"

-Kila majanga, uharibifu, shida na tabu za dunia hii; hazitokudhuru. Utakuwa na uzima tele kwenye afya, uchumi, mahusiano na kila nyanja ya maisha yako. Yaliyoharibu na kuua wengine; wewe hayatokupata, uhai wako umetunzwa. Have life in abundance Mtumishi.


Last born wa kiume na mama yake; I can imagine. May her gentle soul rest in perfect. Mshukuru tu Mungu kwa neema ya kuwa naye kwa miaka yote hiyo uliyobarikiwa kuwa naye. Ukayaenzi yale mema yote aliyokufundisha na kukuongoza. She must be so proud of her last born.


Mimi na familia yangu tunakupenda sana na tunakuombea Mtumishi.
Asee, umeni bariki Mama mchungaji.
 
Back
Top Bottom