Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yarabi huyu msukuma ana nini leo huyu, haya ndiyo matokeo ya kula mlenda wa kienyeji haya. Twiga anayenyonyesha [emoji849][emoji849]
Twiga anayenyonyesha kama kilivyotuna kifua chako[emoji1]

Eti matokeo ya kula mlenda wa kienyeji[emoji1][emoji1]

Nyonyoma bhana.....mtu mu bad[emoji1][emoji1]

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom