Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,294
Mimi ME wa Burigi Chato, Geita, TanzaniaUlimi wa nini tena wewe Me?
Mimi ME wa Burigi Chato, Geita, TanzaniaUlimi wa nini tena wewe Me?
Aaaaa angeongeza ongeza hata mimi ningeweka...
Tupia vitu mama![]()
Naombaaa....... Anyway ngoja kidogo...
Kwanini?Mmh sidhani kama yupo
Kwa 10,000 hapana.
Angalau 30,000 maana najua nitawafurahisha weeengi na wengine watatumia kwa matumizi mengine, 30,000 nanunia kitenge ukumbusho.










Ntakuwekea mpenzi,, wewe tena
Mimi najua hauwezi post hapa ..tukamalize Basi kule pm mamaa![]()
Nyoooo. Muone vile
Kuna thread niliianzisha MMU kuna mjumbe kanichaamba kuwa mie mshari, nitakutag rafiki yangu.!!Hahaha hata wew unaonekana kapole kapole sana...
Umenisaidia nitafanya hivyo maana mimi najiachia.
Hahaahaaaa.. kwanza wewe ukaninyima mgao
Ukilipunguza tumbo utanoga zaidi
Yaani huu ukitoka tu kidogo ukirudi watu wameweka picha wamefuta
Aaaarrrgh..
Wewe haina haja ya kukuomba urafiki..wajua kwanini
Ila we mzuri buana..![]()