BENNICK
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 634
- 866
Nipo standby sasa hiv, ukitupia nizione huko nyuma nimekutana na ile ya Traffic police wawili tuBasi hata zangu zipo huko
Nipo standby sasa hiv, ukitupia nizione huko nyuma nimekutana na ile ya Traffic police wawili tuBasi hata zangu zipo huko
Dadeki 😂😂 😂Weka picha braza
Mi napenda mwanaume mbabe jicho nyanya ngozi ya mamba sura mbaya hivyo yani ila awe smart
Ndo hivo mzee, walio single wajiaachie hapa. Kuliko kuenda kule love connect wengine wanakuona kama zobaKwa hyo ni mda wa masingoboy na masingo gelo kustay alert sio?
Juice haishibishi tatizo.Heri juice fresh kuliko soda aisee
Hizo kwa sisi tunao vijua vitu vizuri tunasema hizo ni sifa zenye kuchukiza.Weka picha braza
Mi napenda mwanaume mbabe jicho nyanya ngozi ya mamba sura mbaya hivyo yani ila awe smart
Karibu kisomali chetu kisura cha kitoto ila mwandiko wa mwajuma ndala ndefuNashindwa hata nianzie wapi kusoma comment.
Wala usisome comments we scroll uangalie picha mpk mwishoni ndo uanze soma comments utakazozikuta mwishoniNashindwa hata nianzie wapi kusoma comment.
Dadeki![]()
Ngozi ya mamba
onyesha mfano mzee baba
Mi tayari mkuu, japo kwa leo sijatupia. Ila soon picha ina kuja. Kuna lady ali appreciate vien zangu jana ko ni mwanzo mzuriHata mkono tu mi unanitosha uzi wa kutupia huuHizo kwa sisi tunao vijua vitu vizuri tunasema hizo ni sifa zenye kuchukiza.
Picha yangu utaiona kabisa katika maneno yangu.
Kwakweli nikukose tu mi napenda black km baraka da prince
Ni soda ipi hiyo inayoshibisha nami nikaijaribuJuice haishibishi tatizo.
Huwa nakunywa nikiwa na hela
Nipo standby sasa hiv, ukitupia nizione huko nyuma nimekutana na ile ya Traffic police wawili tu




Hahahha huko kuna kofuli
WooooiNashindwa hata nianzie wapi kusoma comment.

Mbabe wa kupiga watu au mbabe wa kutafuta hela na kukuletea nyingine zilizo baki zinachukiza mrembo.Weka picha braza
Mi napenda mwanaume mbabe jicho nyanya ngozi ya mamba sura mbaya hivyo yani ila awe smart
Kwa hiyo size za Kati ndio nzuri!?Muonekano wangu nimeshaumaliza kwa maneno,soma vizuri utaniona katika hayo maneno niliyo yaandika.