Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,620
- 69,356
Hahahha huko kuna kofuliSijaiona itabidi niifuate piemu
Hahahha huko kuna kofuliSijaiona itabidi niifuate piemu
woooooiiii 🤣 🤣Nasubiri ataenilowesha nimlipizie .....haahahha kaa chonjo
kapeaceKumbe kutuma picha ni rahisi tu ushamba mzigo!!!View attachment 1221753
Kama mimi angalau tunanyamanyamaMi nipo katikati ya mnene na mwembamba sieleweki
Hizo sifa mamiy,sisi tuna zile sifa ambazo ni nzuri zaidi ya hizo zile za "Kati na kati".
Rejea Historia utakutana na vizuri vyote vina sifa ya "Kati na kati".
Nipo ...
Kama mimi angalau tunanyamanyama
@mzigua90 mm huwa nakufikiria ni mdada fulani mnene hivi kumbe sio?Hatimaye nimefanikiwa hiyo. (Camera yangu ya nyuma imepasuka ndo maana hiyo picha imetoka kama na ukungu hivi).
Hiyo ni jana Zanzibar View attachment 1219921
Hembu okoa jahazi,usiniangusheHizo sifa mimi sina,sisi tuna zile sifa ambazo ni nzuri zaidi ya hizo zile za "Kati na kati".
Rejea Historia utakutana na vizuri vyote vina sifa ya "Kati na kati" na ndio vinavyopendwa zaidi.
Huyo binti atakuwa anatania,ila ukweli anaujua.
Nipo ...
Sodaunapendelea nini?
Nakujua kwa ligi zako humu ndaniNimemuona yuko sawa kabisa
Ujue mi ni mpenda fujo so sitakagi mtu laini laini
Na mimi ndio huo huo uzuri wa nje.Za kati na kati hazihusiki nazungumzia mvuto wa nje
Nakujua kwa ligi zako humu ndani










unajua anazungumzia fujo gani?Nakujua kwa ligi zako humu ndani
Heri juice fresh kuliko soda aiseeSoda
Weka picha brazaNa mimi ndio huo huo uzuri wa nje.
Hivi unajisikiaje unaposikia au kuambiwa "Nimemuona binti ana kimo cha kati na kati,hana urefu wa kuchukiza wala hana ufuoi wa kuchukiza,yaani yupo kati na kati"
Kwenye ukati na kati na ndipo kuna uzuri wa kutajika na hapa nazungumzia sifa za nje,zile sifa tunazoziona.
Muonekano wangu nimeshaumaliza kwa maneno,soma vizuri utaniona katika hayo maneno niliyo yaandika.Hembu okoa jahazi,usiniangushe