Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe kutuma picha ni rahisi tu ushamba mzigo!!!
20191002_165419.jpeg
 
Wanaume wanakwama wapi;?
Zurri njoo uokoe jahazi hapa kwa huyu mrembo
Hizo sifa mimi sina,sisi tuna zile sifa ambazo ni nzuri zaidi ya hizo zile za "Kati na kati".

Rejea Historia utakutana na vizuri vyote vina sifa ya "Kati na kati" na ndio vinavyopendwa zaidi.

Huyo binti atakuwa anatania,ila ukweli anaujua.


Nipo ...
 
Back
Top Bottom