BENNICK
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 634
- 866
Mshana jr naona kajitahidi. Ladies mmejiachia sana hapa nimependa, gentlemen naona bado tuna jibana bana.Hata hiyo context sijaona wakisifia
Mshana jr naona kajitahidi. Ladies mmejiachia sana hapa nimependa, gentlemen naona bado tuna jibana bana.Hata hiyo context sijaona wakisifia







Toka uzi umeanza nimesubiri mpaka nimeamua kukuuliza
Nikajua labda utanitumia Piemu![]()


Sijui mwaya
Huu uzi ukitaka fungua unaona picha ya mwanamke kavaa nguo ya kijani ni nani
![]()
Very easy.. Tusha experience zaidi ya hayo!Utaweza sukuma hilo zigo?
SanaaMshana jr naona kajitahidi. Ladies mmejiachia sana hapa nimependa, gentlemen naona bado tuna jibana bana.
Walau wewe umeonaMshana jr naona kajitahidi. Ladies mmejiachia sana hapa nimependa, gentlemen naona bado tuna jibana bana.
Iko kwenye post za 3000 na.......Very easy.. Tusha experience zaidi ya hayo!
Picha yako iko api?
Bado nipo kwenye juhudi za kutafuta mkuu, nikizikosa usishtuke kuskia hodi huko DMMimi boss zipo hapo juu
Hahhaa kila mtu ukimuuliza oic anasema post 3000.Iko kwenye post za 3000 na.......
Hembu nionyeshe zako kwanza na Mimi nitakuonyesha zilipo zanguBado nipo kwenye juhudi za kutafuta mkuu, nikizikosa usishtuke kuskia hodi huko DM
Hahhaa kila mtu ukimuuliza oic anasema post 3000.
😂 😂 nini kikushtuacho?Tobaaaa
Sanaa
Muitikio wa wanaume Ni mdogo
Vyupa![]()
nini kikushtuacho?
Watu wajiachie,nnavo amini kuna couple nzuri tu zitatokea kwenye huu uzi.Walau wewe umeona
Si tunajua usumbufu wa kurudi huko ndo maana tunajiwahiHahhaa kila mtu ukimuuliza oic anasema post 3000.
Wanaume wanakwama wapi;?Mpaka sasa sijaona mwanaume aliyenisisimua kihisia nikamsifia mpaka basi
Sifa nipendazo,,,
Black tiii
Mfupi au mrefu vyovyote tu
Mikono migumu migumu na yenye misuli flani hivi
Ngozi ya suluba
watumia?Vyupa
Kwa heshima na taadhima naomba uposr tena..Si tunajua usumbufu wa kurudi huko ndo maana tunajiwahi