Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
Marahaba rafiki yangu mzuri.adabu yako inaufurahisha moyo wangu🥂🥂Sijamboo ,shikamoo
Marahaba rafiki yangu mzuri.adabu yako inaufurahisha moyo wangu🥂🥂Sijamboo ,shikamoo
Huko huko we ulizia tu
Wanaiuza wapi rafiki
Yeee mama🧚♀️🧚♀️
Chakorii kama chakorii
Kwahiyo hapo ulipo unaumwa sio
afuuuu
Kwahiyo unaamua kunizibia bahati rafiki kipenzi?😅😅Hapana, ana mwenyewe huyoo
Mimi najaribu najaribu tu sio mbobezi sanaaaaHivi kumbe jirani na wewe unpigaga masanga!!
Sijambo!

Unajua ile niliiweka chap nikaitoa kwa haraka so watu wachache sana waliiona ikiwepo wewe na ankali mshana then nikaifuta😅![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ah imenipokonyoka nisamehe jirani
Nipe list ili ni approve basi
😅😅😅 kwahiyo unajiona mjanja si ndio.Wewe umeomba karatasi ya rangi nyekundu
Mimi nimeomba elfu kumi
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Mtu chake na vinukta nukta vyake sijui vilikupaga nini😃😃....
Unaumwa na magego au
Mambo fresh mkuu
Sijambo shkamoo mama




Hahahaha.... Chakorii umefuta picha nimerudi kuiangalia haipo.
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app