T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,486
MmmmmmmmmmhT shirt na jeans [emoji158] umependeza inaonekana.una vidole vizuri loh
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
MmmmmmmmmmhT shirt na jeans [emoji158] umependeza inaonekana.una vidole vizuri loh
Naipenda pia ila mpaka niwe na miahada fulani hivi mizuri mizuri uwe najaza mafuta full tank, sitaki safari za kuishia njianiSana
Safari is my favorite beer
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu mie na ubishoo mbali mbali
[emoji134]Sana
Safari is my favorite beer
Wewe tu hunywi[emoji134]
Karma kama Karma[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Chakorii kama chakorii
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Sijakusahau eti, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unagonga vitu heavy weight, napata imagination tu ukipiga hivyo vitu na ukawa una ride farasi ni harari sana weka mbali
Lizzy mamboHayo makaratasi ya Chakorii ?? Mbona mmechelewa mpaka nimeyatupa??[emoji2957][emoji2957]
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji134]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Karma kama karma bishoo wangu[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Mwee farasi tena
T 1990 ELY kama hivyo hivyo
Jamani mbona nimefungia fungia bagia zilobaki nikatupa 🙃🙃Nataka nifungie mandazi🤪🤪
Uniambie na mimi nizione jamani 🤓Nakuangalia tu [emoji13][emoji13] mimi ndiyo naziona, naona siku hizi hunipikii kule tena nikafurahi
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] Hujawahi kuniangusha nakubali nakubaliUniambie na mimi nizione jamani [emoji851]
Kuhusu kupika si unaona nimekuwa kiguu na njia baba. Ngoja nimalize kukimbizana tutaendelea na zoezi letu![emoji846]
Poa 🙂🙂
Hivi kumbe jirani na wewe unpigaga masanga!!Mlevi mwenzangu hujambo