Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,283
- 95,581
HahahahaNinayo ya papai rafiki yangu[emoji28][emoji28]
HahahahaNinayo ya papai rafiki yangu[emoji28][emoji28]
Wacha bhana😅😅Umetikisa ubongo wangu
Nini tena babaKudadeki
Siku nyingine nitakutag peke yako sawa ee...Mmmh, ungenitag pekee yangu ,ningevimbaje humu
Uliyoyafanya unadhani mazuri ? Picha imebidi niisaveNini tena baba
Lizzy wewe una mbwembwe [emoji847][emoji847]
Hahahaha, usijariSiku nyingine nitakutag peke yako sawa ee...
Uko vzr Rafiki kipenziWacha bhana[emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uniletee pombe ya kienyeji huko mlimba
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Wewe ndo Karma mwenyewe..View attachment 1639786
Jirani unatoa siri nitakuzibua🤪🤪Yaliyomo yamo kudadeki,je ukivaa vile vigauni vyako vifupi ni hatari sana, hivi jirani hujaibwa bado haiwezekani eti
Mmmh, hapa kuna ujumbe hapaJirani unatoa siri nitakuzibua[emoji2957][emoji2957]
Unajua kuna watu hawa kuiona ile sasa unawafungua masikio ujue
Kuna mtu anataka kuniiba kwa mbali..inakuja inakata inakuja inakat[emoji38]
Karibu niko nakusubiriNisubiri nami twende wote
😅😅😅poye rafiki yangu kipenzi sirudii tena siku nyingineUliyoyafanya unadhani mazuri ? Picha imebidi niisave
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji1787] [emoji1787] Umenoga kinyimwezi chalii angu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni yake anapenda pombe we umemsahau
Kuna ujumbe gani umeuona rafiki yangu.hebu niambie huo ujumbe kama n kweli nitakujibu kuwa ni kweliMmmh, hapa kuna ujumbe hapa