Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Ninayo furaha ndani ya msalaba
Nina hamu kufika mbinguni na Mimi





Nina hamu kufika mbinguni na Mimi










Nimekusaidia kupindua picha ili ionekane vizuri





Nashukuru
Yani we mtoto









Na Mimi nipoYani we mtoto
Umeenda kuwapiga picha akina Bi mkubwa za watu na hao majamaa
Alafu unawawekea ma emoj na kuwachora chora humu dah
![]()
Arusha mahali gani hapa
Kishape anacho
😁😁😁ila we mtu weweee😆😆Kishape anacho
Morning binamu
Hiyo pin ni ya nini mkuu..au bado unalea
ndio mkuu.....niko na kakid kana 3monthHiyo pin ni ya nini mkuu..au bado unalea
Safi sana mkuu hongerandio mkuu.....niko na kakid kana 3month
hongera na wwSafi sana mkuu hongera
Hongera ya nini mkuuhongera na ww
guu la castle lager mkuu....hakika hongera sanaHongera ya nini mkuu