Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,930
Bado haujanimiss vizuri.[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
I miss you
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado haujanimiss vizuri.[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
I miss you
We dada weweee😅😅Nipe hela nikuwekee aliyoifuta
Mimi ninayo
😆😆😆Hahahaha....niliiona japo nilitaka kurudi kuiona kwa ukaribu zaidi na kuthaminisha kama yaliyomo yanaweza kuwemo.
Habari ya uzima mpendwa Saint Anne
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Nivinjie hizi code basi rafiki yangu kipenziCodes hizo
Mi wenyewe sijui😅😅Riziki ipi hy Rafiki
🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂Ahsante, vzr km na ufurahisha moyo wako
Chizi kabisa wewe😅😅Nikadhani dawa yangu iko kwa kiuno[emoji1]
Kumbe iko kwa jicho
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
HahahahaMi wenyewe sijui[emoji28][emoji28]
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Sema suu niwekeWe dada weweee[emoji28][emoji28]
Sema suu niwekeSema suu niweke
We jamaa mimi sio sista duu mara sijui nadonoa donoa akuu napiga msosi mpka unakata😅😅
Eti Eeeeeeh!!We jamaa mimi sio sista duu mara sijui nadonoa donoa akuu napiga msosi mpka unakata[emoji28][emoji28]
Iwe nimenunua mwenyewe au nimenunuliwa lazima msosi niufyeke wote haina machaguzi kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema suu niweke
Umemuona Lizarazu??[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Unataka nikumisije mom
Ehee