Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Zote nipo na trevor, sina ya peke yangu
Zote nipo na trevor, sina ya peke yangu
Hebu toa hiyo taifa weka kuku Behaviourist 😅Paja la Taifa!
Nipo singo bana... umri wakuoa bado badoWe si umeoa wewe..hayo macho mengine unayatolea wapi Mangi
Piga sasa hivi, kwani uko nae now?Zote nipo na trevor, sina ya peke yangu
We unamjambazia nani[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]Nipo singo bana... umri wakuoa bado bado
Natumia kompyuta hapaa..na kitochii[emoji16][emoji16]
Niaomba unitafutie kirikiri babkubwa mda si mda nitatimba fasiyadwasiNipo singo bana... umri wakuoa bado bado
Aaah we umeshindikana[emoji2297]Natumia kompyuta hapaa..na kitochii[emoji16][emoji16]
Yupo nyumban sipo nae huku bar
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hebu toa hiyo taifa weka kuku Behaviourist [emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilipoo nkamu: eti hupendi wanaume weupe kama @Espy
Vyeupe dawa sivipendi aisee [emoji16][emoji16][emoji38]Katika weupe wala weusi sipo! Nipogo nipogo tuuuu. Nimeshangaa tu kuwa hupendi macheupe
Aisee sijampata wa kunificha bado mbona
Teh unamaanisha Trevor Noah au ??Zote nipo na trevor, sina ya peke yangu
😂😂😂Vyeupe dawa kazi wanayoVyeupe dawa sivipendi aisee [emoji16][emoji16]
Oohh basi usipotee sana [emoji4][emoji4]
Wamefanyaje kwani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie siwapendi kabisa teh teh
Vyeupe dawa sivipendi aisee [emoji16][emoji16]
Oohh basi usipotee sana [emoji4][emoji4]
Haahahah hapaana namaanisha trevor hazard...Teh unamaanisha Trevor Noah au ??
Nilidhani na wewe ushakuwa wa huku tena, anyway karibu tena Dodoma.Hahaha sasa mbona mi nilishaondoka Dodoma tena mkuu
Aiseeeeee!!....mate yamenijaa mdomoni kama nimeona ukwaju vile.View attachment 1638446
Wanasemaga sijui late kitu gani gani hukooo...Ehee hiyo hiyo