Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tom jamani, basi ni hips na trako
Yewoooomi!![emoji2297][emoji2297][emoji2297]Seat ya mbele kabisaTuma kwanza muamala
Hivi lini mtaacha kunisingizia mambo mazito[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Nani zaidi yako?
Hivi lini mtaacha kunisingizia mambo mazito[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na upole wote huu[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Ukiacha ukorofi
Pumbavuuuuuuu😆😆😆😆😆😆Teh!!..naomba zawadi ya kukufanya ucheke kiboya sana ujue.
Vipi uhitaji mbolea za kurutubisha hizo mboga na kuzifanya ziendelee kuvutia hasa pale mtazamani/mkulima anapoziangalia?
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Huo uvumilivu uutoe wapi😂. Mwenyewe huwezi...
We subiri ndio utajua kama naweza au la.Huo uvumilivu uutoe wapi[emoji23]. Mwenyewe huwezi...
Mweeeeeeeeh
Nimeona mambo yake...Nimemuuiza swali kule juu amelikwepa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona lakini makusudi ya shemeji yako? Na sijui alikuwa na nani huyo alokimbia nae mbio mbio[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali gani shem wangu, mbona sijaliona!
Subiria hapo hapo 😏😏Tuma moja kwanza itanishawishi kuja paande hizo saa hii...
😂😂😂😂 Hiyo sio adhabu ujuwe, hiyo ni dhulma na dhambi hata Mungu hapendi.
Kumbeeee????
Juu kule Shem.. nilikuuliza jana..Swali gani shem wangu, mbona sijaliona!