Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,782
- 182,928
Kweli kabisa dada, hawezi kunifanyia mambo meusi hivi.
Eli79 hebu ukuje hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa dada, hawezi kunifanyia mambo meusi hivi.
Sisi tupo jamani baba! Wewe ndiyo umetutenga hadi tukaanza kuhisi labda umepata familia nyingine yaani hata zile outings za weekend zimepungua sana siku hizi daah! [emoji17][emoji17] [emoji19][emoji19]Miss you too dota! Mmenitenga sana we na mamako2!
@Eli79 mbona hivyo Shem.Kweli kabisa dada, hawezi kunifanyia mambo meusi hivi.
Eli79 hebu ukuje hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpambanaji [emoji115]Wa kishua hivi vitu itakuwa hamvijui
Ukitoka hapo huna haja ya kufanya zoezi.. hizo ni push ups tosha
Mwenyeji wangu yupo vzr hatari
View attachment 1637660View attachment 1637662View attachment 1637663View attachment 1637664
Nikajaribu na Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walema gete ūgūniwīla nagadebe? Ūliosagala sana bageshi [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Nene nalembola/chiza sana nkoi
Ganike gane galembola sana gagolelaga nda/ng'humbe yane guke
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Leo naugulia maumivu,Mpambanaji [emoji115]
Mbona kama unafoka hivi Salimeti, nani kakuudhi?Walema gete ūgūniwīla nagadebe? Ūliosagala sana bageshi [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Pole sana, siku mbili tuu utakuwa poaLeo naugulia maumivu,
Misuli ya mikono inauma na vidole vimetengeneza majimaji
Pole we ni mtoto wa kishua,yaani kuchota maji kidogo tu hadi umetokewa na malenge lenge mikononi😀Leo naugulia maumivu,
Misuli ya mikono inauma na vidole vimetengeneza majimaji
Daily ni starehe#sunset [emoji7]
View attachment 1637723
Mimi mtoto wa bush tu,tena wa familia ya chini kabisa.Pole we ni mtoto wa kishua,yaani kuchota maji kidogo tu hadi umetokewa na malenge lenge mikononi[emoji3]
Yaani na Leo ningeenda kupump hilo bomba ningekuwa fit.Pole sana, siku mbili tuu utakuwa poa
Hapana sifoki. Kuna bwana mdogo hapa namwelekeza kuhusu ishu fulani hivi; na inabidi nitumie nguvu kidogo [emoji16][emoji16][emoji16]. Hujambo lakini? Ulienda kanisani leo? Umetubu madhambi yote na kusamehewa?Mbona kama unafoka hivi Salimeti, nani kakuudhi?
Ook nikahisi kuna mtu kamuudhi saulmet, nisingekubali ningemuudhi pia😀, mi mzima kabisa vipi wewe?, ndiyo nilienda church nimetubu naamini Mungu kasikia toba yangu. Vipi ulienda pia?Hapana sifoki. Kuna bwana mdogo hapa namwelekeza kuhusu ishu fulani hivi. Hujambo lakini? Ulienda kanisani leo? Umetubu madhambi yote na kusamehewa?
Endelea hivyo hivyo mpaka uje utokelezee huku Mwanza wenyeji tupo tutakupokea...and probably for the first time in your life uje ule ugali mpaka ushibe [emoji16][emoji16][emoji16]Dodoma by night ....
View attachment 1637885
Mi sijaenda aisee. Limvua linanyesha balaa leo yaani. Nimehudhuria ibada ya kwenye tivii. Hongera kwa toba; na kama atatokea wa kuniudhi basi ntamshtakia mara moja. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ook nikahisi kuna mtu kamuudhi saulmet, nisingekubali ningemuudhi pia[emoji3], mi mzima kabisa vipi wewe?, ndiyo nilienda church nimetubu naamini Mungu kasikia toba yangu. Vipi ulienda pia?
Poleni kwa mvua ,hata ibada ya kwenye Tv si mbaya lkn. Hakika akikuudhi mtu niambie kamanda nipo hapa💪😀.Mi sijaenda aisee. Limvua linanyesha balaa leo yaani. Nimehudhuria ibada ya kwenye tivii. Hongera kwa toba; na kama atatokea wa kuniudhi basi ntamshtakia mara moja. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kaongoo, unaonekana wa kishua afu unadeka sana wewe😀😀. Usijefia shambani huko hayo mambo tuachie siye Anne.Mimi mtoto wa bush tu,tena wa familia ya chini kabisa.
Sema shule ilikuwa imenidumaza..halafu soon naenda shamba,hayo malengelenge yatanitoka hadi yatachoka yenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi mtoto wa bush wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaongoo, unaonekana wa kishua afu unadeka sana wewe[emoji3][emoji3]. Usijefia shambani huko hayo mambo tuachie siye Anne.