Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,182
- 35,321
Dada umecheka hadi nimeona aibu[emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aise kweli kua makini na unayemuambia ni mbaya..
Tuachane nayo tu[emoji23][emoji23][emoji23]Nimejaribu kurudia sielewi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeahhh....pametengenezwa vizuri sana!!
Nilicheka kwa nguvu.. Sikutarajia nilichoona.Dada umecheka hadi nimeona aibu[emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
AmenHolly scripture from our Evening Mass..
Lakini fahamuni neno hili; kama mwenye nyumba angaliijua ile zamu mwivi atakayokuja, angalikesha, wala asingaliiacha nyumba yake kuvunjwa.
44 Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja.Mtumwa Mwaminifu au asiye Mwaminifu
kumbe bado ulikuwa hujakufa tu...kufa na utamu wako mkuu hakuna mtu atalalamikaJumatatu yangu imeenda poa/salama kabisa japo naendelea kufa na utamu wangu kama muwa.
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Kafungasha nini...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Teh Espy Mungu anakuonaView attachment 1638592
Naomba namba za Amina, kuna jambo nataka nimuulize.Amina kaamua kufungasha haswa
Ni heri kusikia hiviHabari ya kwangu njema/salama kabisa
Familia ipo salama kabisa mkuu
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sijafikiria kitu Mdogo wangu.. nimecheka tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
???? Still plain at here
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amina ana mahali pake peponi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuma kwanza muamala