Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewe inayoluhusu ni sendoff harusi ni yabwana harusi..nikikuoa mimi tunaanzisha zote mbili, unawapiga kwenye sendoff mimi nawapiga kwenye harusii..

Hapa nina card 9 za michango aisee sijui namalizana nazo vipi
😅😅😅😅😅😅yani mchaga na pesa!!ni balaa mnambinu sana jaman kha..fanya fanya basi huko utangaze hiyo ndoa tupige fweza mwanangu
 
Mmmh...kwa unene huu unataka ninenepe niende wapi mkuu?[emoji1]

Sikupwai/hunipwai/hatupwayani ndugu[emoji1][emoji1]

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

😅😅😅

Habari ya huko ulipo lakini.vipi jumatatu yako..siku yako ilikuwaje?
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]nimecheka kiboya sana ujue..


Amen kwa jina la mkulima
Teh!!..naomba zawadi ya kukufanya ucheke kiboya sana ujue.

Vipi uhitaji mbolea za kurutubisha hizo mboga na kuzifanya ziendelee kuvutia hasa pale mtazamani/mkulima anapoziangalia?

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
 
Teh Espy Mungu anakuona
Screenshot_2020-11-30-16-48-27-1.jpg
 
Sasa hapo mwenye roho mbaya kati yangu na wewe nani[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Umekuja kimya kimya ila kuondoka ndio unaniambia.
Adhabu yako naanza ile kitu mara moja kwa mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom