linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Hahaa iphone 12 bhna [emoji12][emoji12]Utapata iphone macho matatu sasa hivi, jitume tu[emoji13][emoji13][emoji13]
Hahaa iphone 12 bhna [emoji12][emoji12]Utapata iphone macho matatu sasa hivi, jitume tu[emoji13][emoji13][emoji13]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] UsijaliHahaa iphone 12 bhna [emoji12][emoji12]
[emoji120][emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Usijali
Hofu kwangu ondoa, nipo fiti my love kama kawa, naparangana na hii life, usiwe kimya sana nawe, unapoteaga nawe
Hii kapo tuirasimishe rasmi au tusubiri kwanza ichanganye??Miss u more darlin me niko frsh hofu kwako tu
Si una roho mbaya hutaki kukaribisha hata mumeo[emoji23] nilikuwa hapo GST nimeshaondoka zangu narudi kwetu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umekuja lini Dodoma we mtu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu na binamu yake hapo mkuu [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13],Hii kapo tuirasimishe rasmi au tusubiri kwanza ichanganye??
Unapenda wanaume weupe?Pichi blaki
Haahaha au unaogopa yale ya msuhubate[emoji16][emoji16][emoji16]Mtu na binamu yake hapo mkuu [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13],
Sasa hapo mwenye roho mbaya kati yangu na wewe nani[emoji2369][emoji2369][emoji2369]Si una roho mbaya hutaki kukaribisha hata mumeo[emoji23] nilikuwa hapo GST nimeshaondoka zangu narudi kwetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pichi blaki
Siogopi mzee baba, linahbaby ni binamu yangu, huo ndiyo ukweli binamu kabisa hapa namlinda asikutane na fisi kama wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haahaha au unaogopa yale ya msuhubate[emoji16][emoji16][emoji16]
Mimi kijana mstaarabu sana nikaribisheni kwenye familia kwa roho moja...Siogopi mzee baba, linahbaby ni binamu yangu, huo ndiyo ukweli binamu kabisa hapa namlinda asikutane na fisi kama wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi kijana mstaarabu sana nikaribisheni kwenye familia kwa roho moja...
Ila kama familia yenu sio yawanywaji niambieni mapemaa nikae pembeni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3590]View attachment 1637669
#SuperLateLunch #Morogoro
View attachment 1637675
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hapo mwenye roho mbaya kati yangu na wewe nani[emoji2369][emoji2369][emoji2369]
Umekuja kimya kimya ila kuondoka ndio unaniambia.
Adhabu yako naanza ile kitu mara moja kwa mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kurudia kusoma mara mbili mbili nielewe nimeshindwa.. ameeleza nini kwani Mdogo wangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
We cheka tu, hii ni adhabu ya miaka minne.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwanini mimi siwezi kula zaidi ya kipande kimoja, inakifu haraka sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikahisi labda mimi tu wa Tukuyu ndiyo nina hilo tatizo; zinawahi kunikifu