Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Sawa BossWasalimie sana huko
Sawa BossWasalimie sana huko
Umenikumbusha kuna dogo alikuwa msumbufu,yaani asubuhi movie yake na mama yake akiwa anamuandaa utacheka hadi uzimie..yaani wanakamatana kinguvu,anamtandika makofi.Nakuelewa ni kawaida lakini kuamka asubuhi ni jukumu aina cha kupenda. Kusema kweli sipendi alafu unakuta dogo hayupo kwenye mood.



Naomba samaki
Duh mambo mengine lazima uwe mkali,mimi watoto wengi hata wangu mwenyewe wananichuliaga poa ila wanavyomuogopa mama yao mpaka miaka ya nyuma kidogo first born wangu aliniambia hatumtaki huyu mama niwaletee mama mwingine, nikamwambia ukinisikiliza na kutii ntaleta mwingine.Umenikumbusha kuna dogo alikuwa msumbufu,yaani asubuhi movie yake na mama yake akiwa anamuandaa utacheka hadi uzimie..yaani wanakamatana kinguvu,anamtandika makofi.
Hapo unamsindikiza dogo njia nzima analia,hataki kwenda
Huyu wa Sasa anapenda shule, kwanza asubuhi anaamka mwenyewe.
Duh mambo mengine lazima uwe mkali,mimi watoto wengi hata wangu mwenyewe wananichuliaga poa ila wanavyomuogopa mama yao mpaka miaka ya nyuma kidogo first born wangu aliniambia hatumtaki huyu mama niwaletee mama mwingine, nikamwambia ukinisikiliza na kutii ntaleta mwingine.






sister sio muongeaji kabisa.Pole broNilipelekwa kwenye park mkuu na nikashawishiwa kupanda kwenye hiyo ride. Yaani mnapanda mpaka huko juu kabisa sijui ghorofa ngapi huko halafu mnarudi chini upside down almost vertical fulu fosi mpaka kuna kimuda hapo mtu unajihisi kama vile huna uzito kabisa (zero gravity). Yaani kabisa kifo unakiona laivu hiki hapa, kichwa kinakuuma, moyo unausikia kama vile unataka kuchomoka, matumbo yanakusokota ali mradi vurugu tu. Wengine mpaka wanapoteza fahamu. Aliyenishawishi kupanda mpaka sasa hatuongeleshani![]()
Msamehe bro, alijua utapenda na kutaka tena.Sasa mtu anayetaka kukuua (kijanja) unamwongelesha wa nini tena? Yupo hapa anahangaika mpaka breakfast naletewa bedroom lakini nimeuchuna tu. Shwaini zake![]()
Naam
Mimi uwa nachukua muda naongea nao,ninapokuwa nina uhakika wamekosea naswitch kidogo,japokuwa majibu na maswali yao yananikera kama mtu mzima inasaidia kujuwa nayumba wapi,.Sina muda wa kupiga mtoto makofi.
Kuna watoto ni vichomi...yaani hapo hadi wamalize kuandaana anakuwa amemlamba makofi ya kutosha ..halafu kimyakimya tu vibao vinaliasister sio muongeaji kabisa.
Sasa hao wako ulideal nao vipi hadi wakaacha??
Basi hujapata mtoto kichomi.Mimi uwa nachukua muda naongea nao,ninapokuwa nina uhakika wamekosea naswitch kidogo,japokuwa majibu na maswali yao yananikera kama mtu mzima inasaidia kujuwa nayumba wapi,.Sina muda wa kupiga mtoto makofi.
Huyo lazima apigwe,tatizo unaweza ukampiga alafu baada ya wiki mbili anarudia kosa lilelile utakuwa unapiga mara mgapi sasa,mpaka aneanda kuomba hela barabarani kutakuwa na tatizo la malezi sehemu ni mtazamo Wangu tu.Basi hujapata mtoto kichomi.
Kuna mmoja amefanya tukio juzi yaani kila weekend anapitiliza kwa bibi yake..harudi nyumbani.Kumbe akishushwa na gari la shule anaenda stand anaanza kuomba kupanda gari,makonda wanamshusha..anaanza kuombaomba hela kwa watu barabarani.
Sasa kuna siku jirani amemuona akaja kusema nyumbani.
Baba yake alimpiga yule mtoto kwa mara ya kwanza.
Hela wanapewa.Huyo lazima apigwe,tatizo unaweza ukampiga alafu baada ya wiki mbili anarudia kosa lilelile utakuwa unapiga mara mgapi sasa,mpaka aneanda kuomba hela barabarani kutakuwa na tatizo la malezi sehemu ni mtazamo Wangu tu.



Mbona unaitika kwa sauti ya kiume badala ya kuitika kimahaba?Naam
Mbona unaitika kwa sauti ya kiume badala ya kuitika kimahaba?





Mambo ya Lizzy hayo 😍, msosi shehena sio Dili 😊