Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Kweli kabisa! Aende mwenyewe kwa kweli!My douta haendagi huko, wewe umeshamaliza kwaya?
Kweli kabisa! Aende mwenyewe kwa kweli!My douta haendagi huko, wewe umeshamaliza kwaya?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujue umeniharibia mtoto[emoji2297]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hivi nimecheka tena ujuwe, sikufikiria ungekuja na jibu la vile.[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Lakini daddy hizi akili ni zako kabisa
@Saint Anne nakukabidhi hii kazi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niende huko ambako ndiko kuna mashetani yenyewe aah wapi
What now[emoji2369][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu anakuzoom ujue
Si unamteteaga hata kwenye hamna[emoji2297][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala hata hajaniharibu ni mimi mwenyewe tu
Mmmmh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hivi nimecheka tena ujuwe, sikufikiria ungekuja na jibu la vile.
Huyu atakuwa na matatizo,si bure.@Saint Anne nakukabidhi hii kazi.
Kumbe nawe ni kiboko hivi
Kidogo tu.Kumbe nawe ni kiboko hivi
Sio bure.Huyu atakuwa na matatizo,si bure.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Amenimiss mimi pekee Kwa kuwa nami nimmemiss pia, unajua principles za maisha ni ukimjali mtu nae atakujali, ukimpenda mtu nae atakupenda, ukimheshimu mtu nae atakuheshimu, ukimbembeleza mtu nae atakubembekeza... kila jambo utegemea response ya upande wa pili so there is no magic zaidi ni upendo tu, lakini mwambie akirudi aje na maelezo nitafurahi kama akiupata ujumbe wangu, nawapenda wote Tansy vs linahbaby [emoji3590]Jf nzima kakumiss wewe tu[emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 1632146
Sambusa zimeisha [emoji23][emoji23]Kidogo tu.
hahahahahahahhaNatumia vyote ..nitashushia na juice wakati nasubiri chai
ichemke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio zimeisha, vipi unahitaji nikupikie Ice?Sambusa zimeisha [emoji23][emoji23]
Nitafurahi sana ukizianda tena zangu, napenda sambusa sasa, nizipige na chai ya maziwa au juice cocktail ya (mango, passion and watermelon [emoji525] ),Ndio zimeisha, vipi unahitaji nikupikie Ice?
We Ni mkazi wa Kanda ya ziwa?Kitoko
Shimwa waragi
Double kick
Highlife
Zed
Blue
Boss
Ambiance
Niendelee
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na hivi nimecheka tena ujuwe, sikufikiria ungekuja na jibu la vile.