Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Sijamtetea! Kama hapo kwenye kumuona mtu kama alivyo nimemuambia hizo ni akili zake kabisa wewe hauwezi kuwa na akili kama hizo!Si unamteteaga hata kwenye hamna![]()
Mie au baadhi ya hao wachungaji wenuHuyu atakuwa na matatizo,si bure.


Mmhh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Amenimiss mimi pekee Kwa kuwa nami nimmemiss pia, unajua principles za maisha ni ukimjali mtu nae atakujali, ukimpenda mtu nae atakupenda, ukimheshimu mtu nae atakuheshimu, ukimbembeleza mtu nae atakubembekeza... kila jambo utegemea response ya upande wa pili so there is no magic zaidi ni upendo tu, lakini mwambie akirudi aje na maelezo nitafurahi kama akiupata ujumbe wangu, nawapenda wote Tansy vs linahbaby
![]()




Aisee napenda sana sehemu kama hizi
duuh aise had mate yamenidondokaWelcomeView attachment 1631403View attachment 1631404View attachment 1631406View attachment 1631405
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Msosi unavutia sanaa...ila mimi nataka nyama ziwe nyingi
Wewe tu!!! Chef mkarimu hata sio mchoyo......🙂🙂Msosi unavutia sanaa...ila mimi nataka nyama ziwe nyingi
Basi usijali, karibu.Nitafurahi sana ukizianda tena zangu, napenda sambusa sasa, nizipige na chai ya maziwa au juice cocktail ya (mango, passion and watermelon),
Hata sijui.Kwani tulikuwa tunaongelea nini mama![]()
Akili zako zinakwendaga mbele na kurudi nyuma eeh! Mimi sina hizo akili.Sijamtetea! Kama hapo kwenye kumuona mtu kama alivyo nimemuambia hizo ni akili zake kabisa wewe hauwezi kuwa na akili kama hizo!
Lakini hata wewe unazo bana! Nimekumbuka!
Hivi zile za kijani ni giligiliani ehh zinanukiaga kwenye sambusa hatari we ni kibokoBasi usijali, karibu.
Yes.Hivi zile za kijani ni giligiliani ehh zinanukiaga kwenye sambusa hatari we ni kiboko
Weweeeee una hatariiii nasubiria awamu ya pili nisikose, ukiona mwanamke anapika sambusa basi misosi mingine ni balaa, hongera etiii nasubiri sambusaaaYes.
Mmmh! Waweza kuta ndicho pekee nilichojifunza kupika.Weweeeee una hatariiii nasubiria awamu ya pili nisikose, ukiona mwanamke anapika sambusa basi misosi mingine ni balaa, hongera etiii nasubiri sambusaaa
Mwee yaani mama yangu mwenyewe tu ananitukana hivi! Sasa watu baki sijui watanifanyaje!Akili zako zinakwendaga mbele na kurudi nyuma eeh! Mimi sina hizo akili.


